Msaidieni uyu dada jamani.

wanaume wengi ndo walivyo, ila kwanza kabla ya kufikiria kumkaukia nawe jaribu kuangalia mazingira mloachana wakati akienda kwa hicho kikao cha harusi, usikute ulimuudhi then akaamua kwenda kikao chake na mhudumu mahali fulani.
Hata hivyo muwekee kijicho utamtambua kwa undani kuwa anakupenda ila ako na wivu juu yako ama ndo kibuyu kimelia hivyo. teh,teh,
 
Yaani unakuta mtu unampenda halafu anakufanyia hivyo dah inauma sanaila sasa hayo maumivu yakija kutoka kwenye moyo wako unasahau kabisa nilikuwa najaribu kufikiri Mungu asingeweka kusahau sijui ingekuwaje.
 
hakupendi uyo
jins alivyokujibu tu ulpomuliza mbona simu .....majibu yake yanaonekana mapenzi nehhhhhhhhhhhhhhh we angalia mbele
achana nae akupend ata kiduchu
chek chek fone buku yako chagua kwasumbufu watano wale ambao wanaonyesha UANAUME then wadanyie vetting after 3mth utajua umsajili nani.........chek fone buku achana na uyo mfu aende na ufu wake...................KIPIND IKI SHOST USIKURUPUKE CZ WATU WANAWEZA WAKATUMIA WEAKNESS I KUKU......na kukuumiza zaid mwsho wa siku.
tumia akili zaid na wala usishirikishe hasira katika maamuzi yako
dada tulia nakwambia manake unaweza ukajikuta ume...na wanaume ndani ya wik


poleeeeeeeeeeeeeeeee km vp twenzetu jikon tukapike mlenda tule na kijiugali kwa vijidagaa kdg tusahau WAFU.!!!!!!!!!!!!
 
Je wewe Ukijichunguza hauja cause hayo? Unampenda? How did you met?
Moyo wako wakuambiaje? Have you tried to be a mother to him anyhow?
bse wanasema ''we cant force a person to love us, bt we can be lovable''
What I think ni pale ukiamua kuchapa mwendo usiache unfilled holes. Kusiwe na things like why sikuwa sure of something....................yes kusoma nyakati ni very important btt usijipotoshe pale una posoma nyakati, and usijibu maswali ya mwenzako...............I mean au anadhani................., or ananionaje.................kwanini asifanye hivi or vile........:playball:
 
I was close to forget,
And ukifikia maamuzi ya kuachana nae, Jipe mda to let him go,Usiangalie Phone book na Kumpa Moyo mwingine (though wanasema It need a behaviour to change behaviour) this doesnt work in relationship (Dont fall inlove to replace a lover) it may destruct either you or an assigned person .

Ukijipa muda wa kutosha you will be free and safe to meet Mr. Next..................
:playball:
 
Mpige chini kabla hajakupiga chini! Usije ukampa sifa bure kwamba alikupiga chini! Manake nina uhakika atakuacha. Mwanaume mysterious namna hiyo hafai hata kidogo anajambo vema umeliona mapema! Uchumba sio ndoa tafuta anayekufaa
 
dada hapo unasubiri kuambiwa Toka?

Piga magoti Mwombe Mungu na mwambie ahsante kwa kukufungulia njia ambayo yangekupata ni makubwa zaidi
 
Ukipenda mtu mpe uhuru... akirudi alikuwa awe wako. Asiporudi basi hakuwa wako asilani.

Wako watu hawataki kuachwa wakuganda utazani luba vile.Vinga'ng'anizi kama hivi utafanyaje kama siyo kuwafanyizia tu? We achana naye tafuta ustaarabu mwingine.Hii ni kwa wote hajalishi mwanamke au mwanaume.Fikiria hata ingekuwa wewe humtaki si ungemwacha kiaina?
 
"Niko njia panda naomba ushauri jamani. Nilikuwa na rafiki wa kiume ambae kwa sasa siko nae, kisa ni siku moja alikuja kwangu kunitembelea akaondoka kwa minajili kuwa aenda kwa kikao cha harusi. Ili kuhakikisha mwenzangu kafika nyumbani salama nikapiga simu kwa bahati mbaya sikumpata. Kesho yake nikamuuliza kulikoni mbona ukuwa hewani ayo majibu yaliotoka apo acha,summary yake ni kwamba sikutakiwa kumuuliza chochote juu ya simu yake, nikajishusha sikutaka tujibizane nikaomba msamaha yaishe. Since then ukimpigia hapokei, msg hajibu, email hajibu nashindwa kumuelewa kwa kweli, kama kaniacha si aseme o anataka nn mie sijui. Hapa niko njia panda sijui nifanyaje, nimvagae nimuulize ni nn o nimwache kama halivyo, naomba ushauri!"

mnamwambiaje wana JF

pengine kabla ya kutoa maoni unaweza kutusaidia kuchagua mume unaemuitaji kati ya hawa..kwa nini..yawezekana tuakaanza kukoment kumbe mume muitaji ni wa hiyo style yaani mbinafsi ataki kubuguziwa na mtu wala mke mtarajiwa kazi kwako kabla ya kuvurumisha

10 types of husbands ;which one r u???
Dear friends,

YOU CAN'T CHANGE WHAT YOU DON'T KNOW NEITHER AVOID WHAT YOU DON'T KNOW.
God father made and ordained family way back in the Garden of Eden and
works with it and made it a backbone of development of our society and the nation as a whole. But the devil is always there trying to destroy God's plans, thereby attacking the family as he did in the garden. Most of the time it is not infidelity or divorce but just confusion in the family by confusing one of the partner or both of them and at the end he (devil) makes the home(s) disoriented. HOSEA 4;6 - So here is some knowledge of husband and wives types so that you can change or avoid them or even upgrade on the good one so that we can leave happily the rest of our lives. Courtesy of Dunamis International Bible Institute research


TYPES OF HUSBAND, THEIR CHARACTER TRAITS


1. BACHELOR HUSBANDS

These are men who:


. Love to do things on their own without consulting their wives
. Love to hang a lot with their friends rather than their wives.
. Are not very serious with married life


2. ACIDIC HUSBANDS

These are men who:


. Are always boiling like acid
. Are always angry
. Are violent
. Are moody and dominating
. Are very dangerous


3. SLAVE HUSBANDS

These are men who:


. Feel and want to be treated like kings
. Treat their wives like their slaves
. Love their wives to be performing old traditional respect
gestures to them
. Don't like to be called by their first names


4. GENERAL HUSBANDS

These are men who:


. Are husbands for every woman
. Love and care for other women more than they love and care for
their own wives
. Even though not in relationship they like giving money to
different women but not to their wives
. Have many female friends


5. DRY HUSBANDS

These are men who:

. Are very moody
. Are very stingy
. Don't consider their wives' emotions
. Don't like putting energy in the relationship to make it
enjoyable
. Don't have any sense of humour


6. PANADOL HUSBANDS

These are men who:

. Use their wives as a problem solver
. Love their wives when they need something from them and after
that they are useless to them
. Are very clever and know their wives weakness and capitalize on
them to get relief from their wives


7. PARASITE HUSBANDS

These are men who:

. Are lazy and don't love to work so they stick to their wives
because of wives' money
. Are very loving but use wives money and resources to cheat her
with their girlfriends
. Are not initiative and they don't even try to help their wives
with house responsibilities


8. BABY HUSBANDS

These are men who:

. Are very irresponsible and childish
. Can not make decision on their own without asking their mothers
or relatives
. When something is wrong they rush back to their parents instead
of discussing it with their wives
. Want their wives to care for them as the way their mother did
. Who always compare their wives with their mothers


9. VISITING HUSBANDS

These are men who:

. Are not always at home but usually at work
. Come home like they are visiting or like their homes are
lodges
. Try hard to provide the material needs of their wives and family
but they have no time for them


10. GOOD HUSBANDS

These are men who:

. Are caring and Loving
. Provide material and emotional needs of their family
. Always make time for their family
. Guide their home spiritually
. Are very responsible and treat their wives as a partner and a
helper
 
Dada yangu huyo keshaenda zake we tulia utapata mtu wa kukufaa,tatizo kina dada huwa mnalazimisha mambo hapo utaanza kujipeleka kuomba msamaha na mwenzako siku umekwenda amezidiwa anafanya kama amekusamehe vile kumbe ana njaa zake mara ujauzito unaanza kutapatapa,wala hajishugulishi tena na wewe.Subiri mume wako yupo utapata tu wa kukufaa wewe atakayekupenda kwa dhati usilazimishe mambo,haya mambo ya kusema nampenda sana siwezi kumuacha ndo yanayowaponza unajikuta umeingia kwenye ndoa siku ya tatu mume analala nje,unalia machozi ya damu!!nawaonea huruma sana dada zangu mkishapenda hamuoni mbele unaangalia hapohapo ulipo.Mnahitaji neema ya Mungu kutoka katika giza mlilo nalo.
 
dada yangu huyo keshaenda zake we tulia utapata mtu wa kukufaa,tatizo kina dada huwa mnalazimisha mambo hapo utaanza kujipeleka kuomba msamaha na mwenzako siku umekwenda amezidiwa anafanya kama amekusamehe vile kumbe ana njaa zake mara ujauzito unaanza kutapatapa,wala hajishugulishi tena na wewe.subiri mume wako yupo utapata tu wa kukufaa wewe atakayekupenda kwa dhati usilazimishe mambo,haya mambo ya kusema nampenda sana siwezi kumuacha ndo yanayowaponza unajikuta umeingia kwenye ndoa siku ya tatu mume analala nje,unalia machozi ya damu!!nawaonea huruma sana dada zangu mkishapenda hamuoni mbele unaangalia hapohapo ulipo.mnahitaji neema ya mungu kutoka katika giza mlilo nalo.


amen;ulijuaje yaani nilitaka kummwagia haya haya wala asisumbuke ..mungu kukuleta dunian ana makusudi yake makubwa wewe tu kufwata yale yanayompendeza mungu ukittii na kuamini utakula mema ya nchi ndoa ya baraka nayo ni mema ya nchi anza sasa...akukuleta uwe kapera maisha yoteee noo kuwa mvumilivu
 
Acha kupoteza muda,hapo hakuna mapenzi tena, isije akawa ile type ya EAT and RUN au alikuwa ana'apply ule mwimbo 'nataka paja, akinitoshi kipapatio'
But its beta ukimchoka mtu umwambie, sidhani kama ni uuungwana kumuacha mtu njia panda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom