msahada wa haraka jamani

msahada wa haraka jamani

Thread za kipumbavu ndio hizi. uhack account ya mtu ili iweje? ushamba mwingine huu ni mzigo, huu wivu wa kuwafuatilia mademu zenu mpaka kwenye privacy zao utawatokea puani.
 
Itakusaidia nini wewe? Hack ya kwako si una email yako
 
Siku ukigundua na wewe umekuwa hacked utajisikiaje? kile ambacho hutaki kufanyiwa usimfanyie mwenzio!!
 
Kama hamujui lolote si bora mpite kimya.

Mkuu hii ishu washaizungumzia humu ndan kuna mwanajamvi 1 aliweka thread yenye maelezo kamil jins alivyo mhack dem wake.Check thread iliyo andikwa na SHAROBARO.
Jaribu kucheck website hii How to Hack a Facebook Account | Relationship Solutions

kama ukifanikiwa ua utakapo fikia utupe feedback.
 
Una access na computer yake au yeye anakuwa na access na computer yako?
 
inategemea anatumia browser gani,kama anatumia browser nyingine tofauti na google-chrome inawezekana kupata mail yake,lakini kama huna access na pc yake au kama anatumia google-chrome imekula kwako........inawezekana lakini na wewe uache umbea,utafukua vichafu bureee uanze kilio
 
I can help with that but privately cuz i dont wanna be responsible if anything goes wrong
 
duh kitu kimetiki jamani wadauuuuuuuuuuu..... nimetumia maujanja mengine Just simple like these... nimehack email kwanza na kuchange email pswd kitu kikatiki... nikaingia facebook ma pcwd fake email correct wakadai forgot pcwd nikakubali wakadai naweza send requst either kupitia email au phone... hapo inategemea na email uliyotumika, pamoja na # ya simu kama iliiweka.. kitu faster kinapatikana, na mpaka sasa me pekee ndo ninauwezo wakuaccess hiyo fcbook na email yake.. wanaume wengine wana mambo yakiboya kabisa sasa inabidi ajue kuwa kuna hata wadada ambao hawataki upumbavu........
 
Back
Top Bottom