Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Msafara wa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe umepata ajali ukitokea Geita kuelekea Chato eneo la Bwanga ambapo gari la DPP limepinduka baada ya Tairi la mbele kupasuka.Chanzo cha ajali hiyo kinaelezewa kuwa, ilikuwa kuwakwepa watoto wawili waliovuka barabara bila tahadhari.
Dereva na Abiria wote akiwemo Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Biswalo Mganga na msaidizi wake wametoka salama.
Dereva na Abiria wote akiwemo Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Biswalo Mganga na msaidizi wake wametoka salama.