Msafara wa rais magari 23 pikipiki 2 je hii ni sawa?

Guys, has any of u seen convoy ya UK prime minister? Piki piki 2, land rover freelander, Rover ya primemister, freelander na mwisho piki piki 2. Now hii ni nchi inayofadhili maskin Njaa Kaya na nchi yake.
...pia usisahau system ya ulinzi ya UK, kila mtaa una askari kanzu wangapi? kila barabara ina cc-camera ngapi? kila barabara ina magari mangapi ya askari yanayotambulika na yasiyotambulika?

BADO NASISITIZA (ikumbukwe siungi mkono ukubwa wa msafara wa JK) bado MATAIFA YETU HAYA.. WENGI HUANDAMANA NA MKUU WA NCHI ILI WAPATE POSHO ZA SAFARI... NDIO MAANA KATIKA MSAFARA HUO, USISHANGAE, KUONA MAGARI YA MA-DC, RPC, OCD, FFU, RC na WENGINEO... Vinginevyo;
Msafara wa rais huwa na watu wasiozidi kumi na tano. sasa jiulizeni hao wengine ni kina nani na huwamo kwa sababu gani?

Alietoa mfano wa magari.... Atazame na misafara ya wanasiasa wengine wa Tanzania je wanatumia Bajaj?

Tumeanza siku nyingi UFISADI! Na hata sisi tunaopiga VITA ufisadi TUJITAZAME kwanza....
Iko siku WATANZANIA WATAZINDUKA na KUJUA KWAMBA NASI NI MAFISADI... Je TUTAKIMBILIA WAPI?
 
Back
Top Bottom