Msafara wa Pinda ndani ya A town!

kasubiri lema hayupo ndio anatia timu,jizi tu hilo hakuna cha mkulima wala nini.anajifanya mlokole kumbe jizi tu,tena jizi **** wezi wenzie wanaiba kumi yeye kama kiongozi mkuu anaiba moja,hana jipya huyo achape lapa arachuga machalii hawataki mafisadi hata rock city hatuwataki ndio maana wanashirikiana na polisisiemu kutaka kuwauwa makamanda wetu kwa kuwapiga mapanga

chadema mkoa wametoa msimamo gani?
 
Nilitarajia kukuta maneno haya "UMEACHA NJIA NA KUTUMBUKIA MTO NDURUMA, HAIJAJULIKANA MARA MOJA KAMA GARI ALILOKUWEMO PINDA NALO LIMETUMBUKIA AU LA" reason behind, anaruhusu mawaziri kutenda makosa ref. jibu lake kwa Mh. Mbunge wa hai. (TUNAGENERATE HASIRA NDANI KWA NDANI)
Una hasira kali sana. Hujaenda kanisani leo?
 
Mwenyewe anadai hapendi magari ya kifahari!!!!

Ni kweli mkuu Sngurampole, mtoto wa mkulima hapendagi magali ya kifahari huenda leo karazimika kuyatumia kwa sababu kijana wake anataka kuoa kwa ... na alikuwa anapeleka posa Hanang si unakumbuka utetezi ule bungeni?:)
 
mtoto wa mkulima my foot, generation ya Mizengo Pinda hakuna mtoto wa tycoon, enzi za baba yake na Pinda wabongo wote walikuwa maporini huko vijijiji, "Mtoto wa Mkulima" haina distinction, haileti maana yeyote.

Mizengo Pinda anakufanya umuone Fredrick Sumaye kama Nyerere fulani hivi, ambae tulidhani ndio the worst in history of mankind.
 
Jamani si amesema anapunguza matumizi yasiyo ya lazima sasa msafara wa magari 35 yote ya nini? Halafu sasa hivi angalau anaamni anapo kuja Arusha baada ya Lema kwenda likizo…..
Vipi mkuu hukuzomea hata kidogo

Mkuu Crashwize, hata lingekuwa VX 8 moja tu na defender za policeccm wananchi wakigudua ni za Magamba ni tabu tupu, jana hapa Mbeya zilipita VX 8 mbili tu na difender za policeccm mbili walipata taabu sana. Maana kuanzia maeneo ya SAE mpaka Mwanjelwa walipokelewa kwa kero ya alama uliyoiweka kwenye avatar yako (V) na miluzi kama ya kumfukuza mbwa.
 
Nikiangalia kila thread inavyochangi! Siamini kuna mtz kwa sasa anayeipenda ccm. Kila mtz anazomea rais waziri na vibaraka vyote vya ccm ya kifisadi.
 
Jama jama jama mbona alikuwa mkuu wa kaya hakuwa Pinda jamani tena alikuwa kwenye range rover plate number ya ngao
 
Ziara hii ni isiyositahili kulalamikiwa maana kazi aliyoifuta inaonekana kwa wote waishio Arusha ambayo ni ufunguzi wa tawi la bank ya ABS ni swala la maaendeleo ya mji na nchi kwa ujumla wake
 
pinda ni waziri mkuu dhaifu na mbumbumbu kuliko mawaziri wakuu wote waliopita katika nchi hii...
 
Ziara hii ni isiyositahili kulalamikiwa maana kazi aliyoifuta inaonekana kwa wote waishio Arusha ambayo ni ufunguzi wa tawi la bank ya ABS ni swala la maaendeleo ya mji na nchi kwa ujumla wake



Duh!
Kiongozi! Hili bank ameenda kufungulia wapi hapa A town?


Maana kuna mdau kaniambia alienda kwenye kiwanda cha mbolea pale Minjingu!
Ama na benki hilo kalifungua huko huko.
 
Back
Top Bottom