ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,950
- 6,981
nisaidieni, mimi nimeona watu wameinama kutoa heshima zao sijui kwa kitu gani - mbona kenge haonekani hapo?
humuoni NAPE?

....anatambulika kwa ngozi yake isiyofanana na mamba wengine...sijui nini kilimtumbukiza humo?
..walikuwa kwenye mazishi ya yule mama wa kichina aliyeuwawa kwa kupigwa risasi na majambazi...Silent Whisper... Hii ilikuwa wapi??? Kwi kwi kwiiiiii...
Ukiwaangalia hao wachona wote utagundua wameinama karibu kwa angle sawa!! They are really flexible!!! Ukimwangali kenge, mgongo mgumu kama hardened steel!!!
Mazoezi jamani ni mazuri kwa afya zetu....
Hata kama ni hela?Ndo hasara ya vitambi,sisi wenyevitambi ukidondosha kitu,kukiokota unajiuliza mara tano tano