Msafara wa Makamu wa Rais wapata ajali

Msafara wa Makamu wa Rais wapata ajali

Duh pole makamu wa raisi nina wasi wasi na mazingira ya ajali hiyo ngoja tusubiri taarifa rasmi kwa wahusika.
 
LAZIMA TUAMBIANE UKWELI!!

VIONGOZI WETU MAGARI YAO YANAKIMBIA SANA, NA HII INAHATARISHA SANA USALAMA WAO.

TUMEONA MARA NGAPI MISAFARA YA RAIS NA WASAIDIZI WAKE IKIKIMBIA ZA BARABARANI..


MAJANGA HAYA YA AJALI YAKITOKEA, SISI WAKATI MWINGINE TUNAONA WANAJITAKIA WENYEWE ILI HALI UPANDE WA PILI WANAKATAZA MAGARI YA ABIRIA YASIKIMBIE SANA.


""....UKWELI UNAPONYA, UNAFKI UNAUA.....""
 
Nampenda huyu mama Mungu amlinde lakini sio yule mkurupukaji
 
kwa nn ktk misafara mala nyingi ajar hutokea??
 
WhatsApp Image 2016-09-09 at 12.26.52 PM.jpeg
 
Back
Top Bottom