Msafara wa Makamu wa Rais wapata ajali

Msafara wa Makamu wa Rais wapata ajali

Gari kuharibika + matibabu + watakao ziba hilo pengo = boooooonge la hasara kwa taifa.
 
LAZIMA TUAMBIANE UKWELI!!

VIONGOZI WETU MAGARI YAO YANAKIMBIA SANA, NA HII INAHATARISHA SANA USALAMA WAO.

TUMEONA MARA NGAPI MISAFARA YA RAIS NA WASAIDIZI WAKE IKIKIMBIA ZA BARABARANI..

MAJANGA HAYA YA AJALI YAKITOKEA, SISI WAKATI MWINGINE TUNAONA WANAJITAKIA WENYEWE ILI HALI UPANDE WA PILI WANAKATAZA MAGARI YA ABIRIA YASIKIMBIE SANA.

""....UKWELI UNAPONYA, UNAFKI UNAUA.....""

huwa hata mimi sielewagi wanakimbilia nini?...
 
Watu watatu wamejeruhiwa baada ya gari moja katika msafara wa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassani uliokuwa unaelekea wilayani Tandahimba mkoani Mtwara kupinduka.

Ajali hiyo imetokea asubuhi leo mbele kidogo ya kijiji cha Nanguruwe na majeruhi ambao ni dereva na wasaidizi wa makamu rais, wamepelekwa katika Hospitali ya Rufaa Ligula.

Tuwaombee ahueni majeruhi.
 
Washukuru ndo hizo gari ngumu, ingekuwa ndo mark nini hizo sjui, wangekuwa wamesha rest kwa amani
*wapone haraka
 
LAZIMA TUAMBIANE UKWELI!!
VIONGOZI WETU MAGARI YAO YANAKIMBIA SANA, NA HII INAHATARISHA SANA USALAMA WAO.
TUMEONA MARA NGAPI MISAFARA YA RAIS NA WASAIDIZI WAKE IKIKIMBIA ZA BARABARANI..
MAJANGA HAYA YA AJALI YAKITOKEA, SISI WAKATI MWINGINE TUNAONA WANAJITAKIA WENYEWE ILI HALI UPANDE WA PILI WANAKATAZA MAGARI YA ABIRIA YASIKIMBIE SANA.
""....UKWELI UNAPONYA, UNAFKI UNAUA.....""
huwa hata mimi sielewagi wanakimbilia nini?...
Misafara ya viongozi mara zote huongozwa na sweeper ambao hutangulia mbele kwa speed zaidi ya 100kmph na mara nyingi ni kukwepa ma-sniper labda wakifika mjini ambako wanapadhibiti.
huenda huyo dereva hakuwa mzoefu au vumbi lilimtibua ndio maana akaingia bondeni
hilo dude ni V8 na lina speed mpaka 220kmph au 140mph ila ukilikosea ndani ya sekunde linakutoa barabarani
 
Back
Top Bottom