Msafara wa Magufuli Arusha

Msafara wa Magufuli Arusha

Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.

Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.

Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?

huo msafara ulikuwa wa makamu wa rais wewe kuwa mwelewa.
 
CCM mbona mnazidi kutuchukiza watanzania? Hao polisi no Wa serikali magufuli Wa ccm kama in uwaziri hana hadhi ya hiyo misafara tusije tukalaumiana baada ya oktoba

Kama ungetazama taarifa ya habari TBC one ungeona kuwa magufuri alikuwa na bilali pamoja na mkuu wa mkoa wa Arusha.

Hayo mengine ni ushabiki tu wa kisiasa, na magufuri alikuwa huko kwa ziara ya kiserikali kama waziri wa ujenzi na sio kama mgombea urais wa ccm.
 
Waziri!!!!!!!

Hivi TANZANIA tuna mawaziri ambao sio wabunge?
Kipindi cha ubunge kimeshaisha baada ya bunge kuvunjwa sasa huyo Magufuli amepata wapi uwaziri kwa wakati huu amba wabunge wote wanaomba upya ridhaa?.

Tatizo la hii nchi ni mfumo mbovu wa CCM.

Novemba CCM tupa kule na mfumo wake wa kichawi.
 
Kilichovunjwa ni bunge na sio baraza la mawaziri. Hayo mengine iulize katiba.
 
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.

Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.

Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?

Inaruhusiwa ndiyo maana ukaona.

Isitoshe, kumbuka huyo ndiyo Rais wa awamu ya tano.
 
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.

Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.

Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?

Hivi hujui makamu wako wa rais alikuwa huko pamoja na Waziri wako wa ujenzi ambaye ni Rais mtalajiwa?

inabidi uzoee baada ya october 25 msafara wa JPM utakuwa zaidi ya huo.
 
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.

Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.

Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?

Mkuu ccm sasa hivi ni sawa na ule usemi usemao sikio la kufa halisikii dawa
 
Kama uliona hayo hayakua yakimuhusu Pombe..
Hio ilikua kwaniaba ya makamu wa rais...
Achakuropoka....

Kitaeleweka kwani hata mkijitetea haiwasaidii kitu chochote kile,october haiko mbali
 
Back
Top Bottom