falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
HUYO ni kiongozi kambi ya upinzani bungeni
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.
Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.
Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?
Ukimaanisha gari ilikua na jina na wadhifa wa mtu...
Aliekua na ulinzi unaozungumiza ni makamu wa rais hyo Pombe hakuhusishwa na hilo...
Uropokaji hausaidii
Kamanda unalia lia nini Arusha si uwa mnasema mnaye rais wenu Lema.Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.
Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.
Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?
Rudi shule ukarisiti...
Mkuu uo msafara ulikuwa wa Mkuu wa mkoa wa Arusha na Manyara na sio wa Makufuli.Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.
Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.
Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.
Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.
Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?
HUYO ni kiongozi kambi ya upinzani bungeni
tunamlinda msimfanye ya mwandosya na mwakyembe ,maana kazi yenu kuwapa sumu wale wenye uwezo zaidi yenu,
Usilalamike sana mkuu...huo upuuzi utaondoka October after ukawa kuchukua nnchi....lowasa hato kubar upuuzi wa watumiz mabaya ya pesa za umma kwa ajili ya chama...[/QU
Mwizi akemee mbadhirifu. Ha ha ha!
Msafara ulikuwa wa Makamu wa Rais ila Makufuli aliunganishwa tu. Magamba bwana!!!
Mkuu uo msafara ulikuwa wa Mkuu wa mkoa wa Arusha na Manyara na sio wa Makufuli.
HUYO ni kiongozi kambi ya upinzani bungeni
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.
Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.
Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?
matumizi mabaya ya kodi zetu