Msafara wa Magufuli Arusha

Msafara wa Magufuli Arusha

Ukimaanisha gari ilikua na jina na wadhifa wa mtu...
Aliekua na ulinzi unaozungumiza ni makamu wa rais hyo Pombe hakuhusishwa na hilo...

Uropokaji hausaidii

Mkuu,huo upuuzi mh,rais wa jmt mh sana Edward lowasa hataukubali kabisa upuuzi huo baada ya kuapishwa
 
CCM mbona mnazidi kutuchukiza watanzania? Hao polisi no Wa serikali magufuli Wa ccm kama in uwaziri hana hadhi ya hiyo misafara tusije tukalaumiana baada ya oktoba

Dawa yao ni kuwapiga chini
 
Nyie watu taabu sana.kwa juzi mnalalamika Magufuli kaingia Arusha kimya kimya.sasa kaondoka eti kaondoka kwa kishindo.

Kaeni na makomeo yenu sisi tuna funguo za kuingilia ikulu
 
tunawaogopa msimfanya mliyomfanya mwakyembe na mwandosya hatujasaau,

Hakuna cha makofuli wala makomeo,sasa kazimika kama kipande cha mshumaa,habari ya mujini ni lowasa
 
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.

Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.

Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?

Acha kuwa na mawazo ya KIMBWIGIRI. Wewe ulitaka asafirishwe na GUTA?
 
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.

Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.

Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?

Hata lowasa akishateuliwa atapewa ulinzi ni sheria maana ni nusu rais mpaka uchaguzi ukiisha
 
Post za Magufuli zimedoda khaa hata hazichangiwi

Paka akiondika panya hutawala, sasa paka amerudi, panya itabidi wanyamaze.

Lowassa ndie habari ya mjini,alikuahivyo kabla hajakatwa na sasa kaibukia ukawa fame yake inamuandama.
 
Kapewa heshima kama waziri ni siyo mgombea. Jua kutofautisha
 
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.

Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.

Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?

Unapoambiwa ccm ni mafisadi unadhani unadanganywa
 
Hata wewe mwenyewe ukitaka escort nzito na ving'ora unapewa siyo hadi uwe kiongozi. Kikubwa uwe na sababu ya msingi ya kuhitaji hiyo escort.
 
Back
Top Bottom