Msafara wa Magufuli Arusha

Msafara wa Magufuli Arusha

Usilalamike sana mkuu...huo upuuzi utaondoka October after ukawa kuchukua nnchi....lowasa hato kubar upuuzi wa watumiz mabaya ya pesa za umma kwa ajili ya chama...
Huyo Lowassa tu alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu 2005, Arusha alipoklewa km Rais
Ndoto yake mpaka leo anaMind mamisafara na maHelkopta
kazunguka Nchi nzima na magari mangapi?
 
Kweli kabisa mkuu, mwisho wao umekaribia...
Hata mateja nao hujipa matumaini nipo USA mwanagu, nipo kwa madiba, kumbe yupo kwa mtogole au sinza makabirini! Hahahaha mtaisoma safari hii kwa kuwa mmeuzwa.
 
nape naomba utupe majibu ya magufuli kutumia msafara wa magari ya serikali.leo sasahivi yamenipita magari zaidi ya kumi yakiongozwa na polisi na gari ya uwaziri.hivi mmejihakikishia kuwa yeye ni rais na tayari kila kitu sawa au ni matumiz mabaya ya mali za umma?hii haikubaliki hata kidogo ccm kucgezea kodi bila aibu.
 
Mm pia nimeshangaa kapita sasa hivi apa bagamoyo msafara wa kutosha pia anatumia gar ya wazir wa ujenz
 
Hata urais una mazoezi.

Ndiyo anajiandaa hivyo wamalizie na goli la mkono
 
nape naomba utupe majibu ya magufuli kutumia msafara wa magari ya serikali.leo sasahivi yamenipita magari zaidi ya kumi yakiongozwa na polisi na gari ya uwaziri.hivi mmejihakikishia kuwa yeye ni rais na tayari kila kitu sawa au ni matumiz mabaya ya mali za umma?hii haikubaliki hata kidogo ccm kucgezea kodi bila aibu.

Nape kwa sasa hawezi kukujibu kwani jakui kimachoendelea huku uraiani, si unajua ni mmoja ya wale waliong'ang'aniwa na PCCB kwa tuhuma za kutoa RUSHWA huko jimboni Mtama Lindi.
 
Rais wa baba yako na ukoo wenu

Maneno machafu hayatabadilisha ukweli lowasa hata akivikwa koti gani hawezi kuwa sawa na magufuli. katika nchi hii angalau ccm unaweza kukiita ni chama kinachofuata demokrasia, ni chama cha kila mtu. hata lowasa kiliweza kumvumilia na kukaa naye lakini pia rais kikwete busara zake zitukuzwe. hajawahi kukana urafiki wake na lowasa na ameonesha kwamba mtu anaweza kuwa rafiki yako na ukamkaribisha mkanywa nae chai nyumbani kwako lakini bado si kigezo cha kumpa uongozi. chadema kwa miaka yote kimeonekana kilikuwa kinaongozwa na ng'ombe watupu. haiwezekani chama chenye kuungwa mkono na karibu nusu ya wananchi wote kinakuja kufanya mambo ya kipuuzi kiasi hicho, kumpa mtu ridhaa ya kuwaongoza akiwa mwanachama wenu wa siku 2 tu. pengine kwa kutoka kwake kaskazini ni tiketi ya kuaminiwa haraka na wanakaskazini wenzake.

hatimaye nimekubali hata kama utakuwa na karama ya uongozi kwa kiasi gani ikitokea huna elimu nzuri ya makarasi itafikia tu pahala utajichanganya (mbowe). labda shetani asaidie ili lowasa ashinde, lakini ikitokea kinyume chake tlp au udp ya mapesa itakuwa afadhali. cdm mnashindwa kutumia akili hata kwa vitu vidogo sana. fikirieni mtajitetea vipi na suala hili, hamuoni aibu? je, tuliokuwa na bahati mbaya ya kutotoka kaskazini?
1. mgombea urais - arusha
2. mwenyekiti - kilimanjaro
3. katibu mkuu - manyara/arusha
4. mwenyekiti wanawake taifa - kilimanjaro
5. mwenye chama (mtei) - arusha/moshi
ccm wakisema mnafikiri wanawaonea. jipimeni
 
Kazi gani muhimu kiasi cha msafara mkubwa kama huo? Mbona kwenye ziara za ukaguzi wa barabra hakuwa na msafara mrefu ila kipindi hiki! Hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Ila makufuri kumpitisha awe mgombea urais wamemuonea sana wamembebesha mzigo ambao hauwezi kuubeba makufuli kama kweli ni yuko vizuri kwenye maswala ya barabara kwanini wasimuache hukohuko akomae na barabara huwezi kufananisha kutengeneza barabala na kuongoza watu
 
Back
Top Bottom