Msafara wa Magufuli Arusha

Msafara wa Magufuli Arusha

Ivi nyie hamuwezi katabiri kama itenyesha? Jaman angalien juu kuna wimbi. Lowassa yawezekana asha chukua inchi kwa kuwa yule mzee anapendwa mi sikuamini kabisa ila mi niko mbali. Itanyesha tu
 
Kilichovunjwa ni bunge na sio baraza la mawaziri. Hayo mengine iulize katiba.

Ndio maana tunasema hata akishuka Malaika akajiunga na CCM chini ya mfumo wake wa kichawi baada ya miezi sita atakua ni shetwani mkubwa.

Katiba inatuambia kuwa wabunge ni lazima wawe wabunge ama wakuteuliwa au wakuchaguliwa majimboni.

Kwa sasa wizara zinapaswa ziendeshwe na makatibu wa wizara na sio hao mawaziri ambao sio wabunge .
Hizo ni kampeni na rafu za CCM za miaka yote.

Mwisho wa utawala wa na mfumo mbovu unakaribia.
 
Wazo la leo: "Mwanaume mzima halalamiki barabarani, analalamika kitandani"
Huo ulikua ni msafara wa Makamu wa Raisi Mhe. Dr. Mohamed Gharib Bilal aliyeweka jiwe la msingi kwenye barabara ya KIA-Mererani. Acheni umbea usio na tija.
 
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.

Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.

Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?

usikurupuke ni msafara wa makamu wa rais walitoka kuweka jiwe la msingi kwny barabara alikuwepo na waziri wa ujenz
 
Usilalamike sana mkuu...huo upuuzi utaondoka October after ukawa kuchukua nnchi....lowasa hato kubar upuuzi wa watumiz mabaya ya pesa za umma kwa ajili ya chama...

Atakubali fedha zote Ziwe mikononi mwake,
 
mh mi napita mkuu but I'm not sure with ur comment

huyo anaehoji msafara wa magufuri ulikua na escort ya police na magari ya serikali kwa sababu alikuepo makamu wa rais so mambo mengne msifanyie ushabiki...
 
Back
Top Bottom