geraldkowero1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 1,838
- 647
Hilo ni muhimu sana Mkuu,mimi binafsi nishafanya hivyo tupambane kuhamasisha hakuna njia rahisi ya mabadiliko ,ni kutumia kila mbinu wakuuuu!!! Viva lowasaaaa
Nasema ni mbinu nzuri ya kutafuta ushindi hata kama ni kwa kuchelewa.