Msafara wa Lowassa wasimamishwa Ubungo

Msafara wa Lowassa wasimamishwa Ubungo

Una akili sana,mimi tayari zamani mkuu.
Labda nifanye kurudia tu kuwakunbusha.

Endelea don't stop hatuwez subiri tushinde kabla ya uchaguzi on that day ni ku confirm tuu
 
Tunatokea Tabata liwiti tunaenda Tandale baada ya hapo Kawe.
 
Hapo hakuna msanii hata mmoja, jamaa katisha. Viva Lowasa ulipo tupo.
 
Mwamko bado mdogo, ukilinganisha na Mikoani.
 
Sasa ni wazi Dar es Salaam imefunga. Hii ni baada ya msafara wa mgombea wa UKAWA Edward Lowassa kusimamishwa ma maelfu ya wananchi wa Ubungo na kuamua kumsindikizwa mpaka Tandale.


Wawe macho wasije pigwa kitoa machozi maana wajukuu wa afande K hawachelewi!:cheer2::cheer2:
 
Maswali ya kawaida kabisa:

Walijuaje Lowassa atatumia usafiri wa gari na sio Helkopta? Na walijiuaje njia atakayotumua na muda atakaopita?
 
Back
Top Bottom