Msafara wa Lowassa wasimamishwa Ubungo

Msafara wa Lowassa wasimamishwa Ubungo

Siku Nyingine Ukiwa Unaandika ID Yangu Uwe Unatulia Kwanza Na Usiikosee Sawa Wewe NGUCHIRO? Watu Wengine ID Zetu Ni BRAND Tosha MITANDAONI Na Zinagombaniwa Na Kufuatiliwa Kila Mara Na Kuwafanya Watu Wengine Humu Njia Zao Za Kwenda MALIWATONI Zisiote Nyasi. Naitwa GENTAMYCINE Sawa Siyo Huo UPOPOMA Wako Uliouandika Hapo.

Last edited by a moderator:
Nimeipenda bure
You are geneous... Tuaze na sisi tuliokoment... Kwa kupost ktk wall zetu na account zetu ili wazo la jamaa lienee fasta. Sio lzma liazie kw wakubwa..kumbukeni makamanda kua wapga kampeni no sisi wote wanachama, hatuna kamati ka ya wapandisha twigana.
 
Tunasubiri Tu Kuweka Picha Yake Ktk Hela Utakazoanza Kuzitumia Mwezi January 2016 Na Pia Picha Zake Nyingi Tu Kuanzia Tarehe 2, November 2015 Utaanza Kuziona Zimebandikwa Ukutani Maofisini Humo Na Ktk Sehemu Mbalimbali. Jipeni Tu MOYO Na JIDANGANYENI Kwa Huyo MKWEKAJI Wenu Wa Majukwaani Ndiyo Atakuwa Rais Wakati Ninavyojua Ni Kwamba Kwa MAANDALIZI Tunayomalizia Sasa 99.999% Dr. John Pombe Joseph Magufuli Ndiyo Next President Wako / Wenu MTAKE MSITAKE Period!

Hakika watu makini wanajua hilo,
 
wakuu hongereni kwa hyo hoja ya ongea lowasa awe rais..Mpaka sasa kwa upande wangu nimeshaanza kampeni kabambe na mtandao wangu wa MTANDAO WA KURA YA MABADILIKO-KURA YANGU KWA LOWASA 2015 MIMI NI MWANAMTANDAO-Naombeni mniunge mkono nazunguka nchi nzima na leo ndio nimezindua rasmi

Umeanzia wapi?
 
Maswali ya kawaida kabisa:

Walijuaje Lowassa atatumia usafiri wa gari na sio Helkopta? Na walijiuaje njia atakayotumua na muda atakaopita?

Tukuulize wewe, ulijuaje humu kuna uzi kuhusu lowassa kufunga barabara kuanzia ubungo hadi temeke?
 
Back
Top Bottom