Msafara wa Lowassa wasimamishwa Ubungo

Msafara wa Lowassa wasimamishwa Ubungo

Jaman na CC wekeni picha za pombee

Tunasubiri Tu Kuweka Picha Yake Ktk Hela Utakazoanza Kuzitumia Mwezi January 2016 Na Pia Picha Zake Nyingi Tu Kuanzia Tarehe 2, November 2015 Utaanza Kuziona Zimebandikwa Ukutani Maofisini Humo Na Ktk Sehemu Mbalimbali. Jipeni Tu MOYO Na JIDANGANYENI Kwa Huyo MKWEKAJI Wenu Wa Majukwaani Ndiyo Atakuwa Rais Wakati Ninavyojua Ni Kwamba Kwa MAANDALIZI Tunayomalizia Sasa 99.999% Dr. John Pombe Joseph Magufuli Ndiyo Next President Wako / Wenu MTAKE MSITAKE Period!
 
Magufuli lazima azomewe tu kwa nini anamkataza mke wake kumnadi?

Mkuu Hakuna Ushahidi Juu Ya Hilo...Afu Mkuu Ni Nyie Wenyewe Mliekuwa Mnaponda Jakaya Kuhusisha Na Familia,ni Nyie Tena Leo Mnaponda Magufuli Kumweka Pembeni Mkewe,sasa Tuwaweke Upande Gani?
 
Niko njiani tunaongoza na rais kwa kweli watanzania wanampenda sana lowasa, humu njiani akina mama wanazimia hovyo kwa furaha za kumpungia mikono ya heri rais wetu kipenzi cha watanzania.
 
hyo oktoba 25 ntakuwa wakwanza kituoni kumchinja magufuli na kuiangamiza ccm. Tuombe uzima
 
attachment.php
 
Basi wasimcheleweshe maana siku alikuja mbezi msafara ulisimamishwa sana toka Goba na kufanya achelewe sana

Leo Watajitahidi Kumuwahisha ILI Kusudi Awahi Pia Na Ratiba Yake Muhimu Ya Kwenda CHOONI Kutoa Haja Kubwa Wazaramo Wanasema " KUUKWEKA ".
 
Back
Top Bottom