Msafara wa Lowassa wasimamishwa Ubungo

Msafara wa Lowassa wasimamishwa Ubungo

Genitalmycene unaitwa na juma nyoso,watu wa simba bana

Siku Nyingine Ukiwa Unaandika ID Yangu Uwe Unatulia Kwanza Na Usiikosee Sawa Wewe NGUCHIRO? Watu Wengine ID Zetu Ni BRAND Tosha MITANDAONI Na Zinagombaniwa Na Kufuatiliwa Kila Mara Na Kuwafanya Watu Wengine Humu Njia Zao Za Kwenda MALIWATONI Zisiote Nyasi. Naitwa GENTAMYCINE Sawa Siyo Huo UPOPOMA Wako Uliouandika Hapo.
 
nenda kapigwe madole na Nyoso,unamtetea sio bure
 
Strictly to mabadiliko no turning back,,, nan kakwambia chadema ni Chama cha mashetani ,,, pita kuleeeeeeeeeeee ka hujielewi,,,,!!!!!!
 
Ongea na Home Lowassa awe Rais ... Nimeipenda hiyo Mkuu ... Mwaka huu CCM wanakalia msumari wa nchi 20
 
Siku Nyingine Ukiwa Unaandika ID Yangu Uwe Unatulia Kwanza Na Usiikosee Sawa Wewe NGUCHIRO? Watu Wengine ID Zetu Ni BRAND Tosha MITANDAONI Na Zinagombaniwa Na Kufuatiliwa Kila Mara Na Kuwafanya Watu Wengine Humu Njia Zao Za Kwenda MALIWATONI Zisiote Nyasi. Naitwa GENTAMYCINE Sawa Siyo Huo UPOPOMA Wako Uliouandika Hapo.

ndoroobooo wewe nenda juma nyoso anakutafuta.
 
wakuu hongereni kwa hyo hoja ya ongea lowasa awe rais..Mpaka sasa kwa upande wangu nimeshaanza kampeni kabambe na mtandao wangu wa MTANDAO WA KURA YA MABADILIKO-KURA YANGU KWA LOWASA 2015 MIMI NI MWANAMTANDAO-Naombeni mniunge mkono nazunguka nchi nzima na leo ndio nimezindua rasmi
 
Back
Top Bottom