Maswali ya kawaida kabisa:
Walijuaje Lowassa atatumia usafiri wa gari na sio Helkopta? Na walijiuaje njia atakayotumua na muda atakaopita?
Mkuu huna simu ya kiganjani...magufuli alizomewa mbeya baada ya dk 3 kila mahali imetapakaa...ni nomaa
Maswali ya kawaida kabisa:
Walijuaje Lowassa atatumia usafiri wa gari na sio Helkopta? Na walijiuaje njia atakayotumua na muda atakaopita?
Sasa Kama Nyie Mnajiamimini Kuwa Mtashinda Hivo Why Mrudi Kila Wiki Dar?
Sasa ni wazi Dar es Salaam imefunga. Hii ni baada ya msafara wa mgombea wa UKAWA Edward Lowassa kusimamishwa ma maelfu ya wananchi wa Ubungo na kuamua kumsindikizwa mpaka Tandale.
View attachment 293496
Ila tunatofautiana sana kifikra nadhani wanaoshabikia ccm kuna mawili 1.Wananufaika na mfumo huu mbovu wa serial.
2.Hawajielewi /Hawa2elewi Kwa nini tunataka mabadiriko na mabadriko hayo ni yapi..ndo maana wanaamini Mabadriko kupitia magufuri ambayo ni mabadriko Kwa maana ya ccm kubadrisha m/kit wa chama,kikwete-Magufuri.
Mabadriko 2nayoyataka ni kuondoa mfumo wa ccm wa wa2 wachache kugeuza nchi hii ni ya Kwao na kuwaamlia kila ki2 watz walio wengi tunamchaua lowassa /ukawa sababu wamekubar kurejesha katba mpya yenye kukurejesha mamlaka ya nchi kwa wananch ...na huu ndio mwarobain wa ubabaishaji wa viongoz wa ccm