Sasa Kama Nyie Mnajiamimini Kuwa Mtashinda Hivo Why Mrudi Kila Wiki Dar?
Alikuwa anatoka Tabata kuelekea Tandale... Ule uwanja karibu na Shikamoo Pesa
Kampeni Ya Ongea Na Home Lowassa Awe Raisi Imepitishwa! Hoja Inaafikiwa!
Sasa Kama Nyie Mnajiamimini Kuwa Mtashinda Hivo Why Mrudi Kila Wiki Dar?
Mkuu umekosea kidogo ni karibu na shikamoo bar na marhaba!
Dar Still Ni 50 50....
Ntakuamsha 28 october mana ndo siku watu tutasimama kubadili nchi matokeo tutayapokelea kweny viwanja vyote vikubwa kuanzia bunju hadi Pugu
Ianzishwe kampeni maalumu ya watu wa dar kuwaomba wa vijijini kumpigia lowassa kura iitwe "ongea na home lowassa awe raisi"
Ianzishwe kampeni maalumu ya watu wa dar kuwaomba wa vijijini kumpigia lowassa kura iitwe "ongea na home lowassa awe raisi"
Mkuu taratibu naona unatoroka kuja
Kampeni Ya Ongea Na Home Lowassa Awe Raisi Imepitishwa! Hoja Inaafikiwa!?
Never Bro,kuna Vitu Nimeangalia Mpaka Nikasema Hivo..Kuna Watu Dar Wenye Mvuto Zaidi Watakaoweza Ipatia Kura Ukawa Mf.Mnyika Lakini Still Ukiangalia Kama Temeke Mtemvu Anamvuto Zaid,unaweza Kuona Jinsi Mchuano Ulivo Mkali,tuache Ushabiki Tuzungumze Fact
Ianzishwe kampeni maalumu ya watu wa dar kuwaomba wa vijijini kumpigia lowassa kura iitwe "ongea na home lowassa awe raisi"