makundubhyali
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,389
- 886
Kanda ya ziwa wasipate hofu, tunamjua Magufuri kuliko ninyi, alianzia kufirisi Nyanza Co-op LTD alipochaguliwa mbunge akawa anafungulia matusi na kejeli.Hata Chato kwenyewe hapati hata 40% ya kura za urais na ninahofu hata mke wake hatampa kura. Pia huku kuna chopa ya UKAWA vijana wanapiga kazi vijijini kama nini mpaka mikutano nane kwa siku.Kura za kanda ya ziwa nikupe habari ndo ukawa wangejaribu kujikita, kule kuna watu kibaoo yaani nyomi ila bahati mbaya kwa ukawa, watu wa kule wengi wameelimika na wana uwezo wa kujua zuri na baya, kanda ya ziwa ndo wanaaoamua nani awe rais.