Una akili sana,mimi tayari zamani mkuu.
Labda nifanye kurudia tu kuwakunbusha.
Maswali ya kawaida kabisa:
Walijuaje Lowassa atatumia usafiri wa gari na sio Helkopta? Na walijiuaje njia atakayotumua na muda atakaopita?
This is very strategic campain tatizo mgombea wa ccm hataweza hii maana lazima abadili hali ya hewa taratibu huwezi muweka leo dar kesho manyara keshokutwa mwanza Hawez
Ni ratiba yetu ya kampeni.......Na tume wameipitisha.....Lazima tuongee na wapiga kura wetu....Unataka kutupangia pa kwenda?
Mwambie magufuli aje hapa dar apite ubungo kama hatazomewa
Mkuu alikuwa anatokea wapi anaelekea wapi?
GENTAMYCINE!huyu ni pacha wako?
Huyu sijui katokea wapi.
Dar Still Ni 50 50....
GENTAMYCINE!huyu ni pacha wako?
Sasa ni wazi Dar es Salaam imefunga. Hii ni baada ya msafara wa mgombea wa UKAWA Edward Lowassa kusimamishwa ma maelfu ya wananchi wa Ubungo na kuamua kumsindikizwa mpaka Tandale.
Endelea kujidanganya madako wewe! Uthibitisho ni tarehe 24 siku ta kuhitimisha kampeni magamba watakapokuwa T/Packers na UKAWA wakiwa Jangwani. Tutaona kama mtapata watu!!
Mkuu Kila Mtu Akiamua Kumzomea Mwenzie Hayo Mabadiliko Hatutayapata Tutaishia Vitani Tu
Anatokea Choo Kilipojaa Na Kimefungwa Na Hapo Sasa Anaelekea KUUKWEKA Ktk Choo Kingine Cha Muda Kilichopo Maporini Kawe.
Mdomo hauna ulimi...aaaaaahh..mdomo hauna nini?Hahahaha umenikumbusha Bunge la vituko