Msada: Tumfanyaje Mke 'mcharuko?'

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,846
11,210
Wakuu napata tabu sana na rafiki yanu mmoja wa karibu... sasa mpaka mimi nimeanza kukoas imani na amani maana rafiki yangu anaendeshwa kweli na mamsapu wake

Mama anashindana na kila rafiki wa mumewe, yani ukinunua gari, basi na shem atamuendesha jamaa mpaka anunue gari. Mwanamama anashinda na madalali tu mara kiwanja, mara fremu, mara gari, sasa imeanza kuwa tabu kwani jamaa ameingia kwenye madeni makubwa sana na anafikiria kukimbia nchi

Ungekua wewe ungeshauri nini?
 
nahisi analijua, ila anaplay cool, kwakweli ni balaa... yani mnaweza mkawa bar halafu anaona gari nzuri, anashoboka hadi soo aisee
 
nadhani haya mambo yanategemea walianza vp,kama wakati wanaanza alimwambia magari yote yanayoanza na T ni yake,au magorofa yote ni yake,au watu wote wanaovaa jinsi ni kutoka kampuni yake (mifano si ya ukweli lkn)lazima kutakuwa na tatizo hapo,kil kitu ktk maisha kinahitaji msingi,je msingi wao ulikuwa upi?showing off au?je jamaa yajo kaona hili kama tatizo?amuite mkewe waongee hali halisi ya maisha sio kumwambia"kuna hela fulani nategemea kupata ntakununulia"aseme ukweli wa maisha nn malengo yao mangapi wametimiza,mangapi hayaja timia kwann?nini kifanyike ktk madeni yote waliyoingia ,je wataishi vipi maana dawa ya deni kulipa etc,waongee kirafiki nadhani wataelewana tu.
 
sasa Acid umeombwa ushauri au wataka ingilia mapenzi ya watu?
 
nahisi analijua, ila anaplay cool, kwakweli ni balaa... yani mnaweza mkawa bar halafu anaona gari nzuri, anashoboka hadi soo aisee

Hizi balaa za kimaisha aisee...ila ni ngumu kuingilia kama jamaa hajawambia rasmi....so i propose :tape:
 
kuna wanawake sio wife material hapa waweza kuongea wee lakini shida ya huyu mama hataki kuwa chini anataka akikaa mahali watu watambue yupo sasa hapo baba kazi kwake asije akafa kabla ya siku zake aishi maisha halisi asimame kama baba hili haliwezekani ili lifanyike sina pesa mke atamuheshimu tu nahisi mkewe kashajua mapungufu yake ndo maana anamuendesha l
 
nadhani haya mambo yanategemea walianza vp,kama wakati wanaanza alimwambia magari yote yanayoanza na T ni yake,au magorofa yote ni yake,au watu wote wanaovaa jinsi ni kutoka kampuni yake (mifano si ya ukweli lkn)lazima kutakuwa na tatizo hapo,kil kitu ktk maisha kinahitaji msingi,je msingi wao ulikuwa upi?showing off au?je jamaa yajo kaona hili kama tatizo?amuite mkewe waongee hali halisi ya maisha sio kumwambia"kuna hela fulani nategemea kupata ntakununulia"aseme ukweli wa maisha nn malengo yao mangapi wametimiza,mangapi hayaja timia kwann?nini kifanyike ktk madeni yote waliyoingia ,je wataishi vipi maana dawa ya deni kulipa etc,waongee kirafiki nadhani wataelewana tu.

thansk Pearl... ukweli ni kwamba wote hatukuiona hiyo tabia before... ila kadri siku zinavyoenda tunaona kama mama anazidi aisee... juzi hapa mamsapu wangu akaniuliza hivi mbona ----- kama anabadilika? nikakosa jibu

sasa je mie nimuulize jamaa au niache tu mpaka jamaa avunje ukimya?
 
aaaahhh kumbe hujatumwa we acid? Rafikiyo ameamua kufa kiofisa...na tai shingoni ndio sababu hajavunja ukimya...ila hiyo tabia mbona mbaya tu, we all love big cars, hses, expensive clothes but are realistic....u have to learn to live within your means. Naona afadhali jamaa aongee na mkewe...watatumbukia pabaya.
 
Wakuu napata tabu sana na rafiki yanu mmoja wa karibu... sasa mpaka mimi nimeanza kukoas imani na amani maana rafiki yangu anaendeshwa kweli na mamsapu wake

Mama anashindana na kila rafiki wa mumewe, yani ukinunua gari, basi na shem atamuendesha jamaa mpaka anunue gari. Mwanamama anashinda na madalali tu mara kiwanja, mara fremu, mara gari, sasa imeanza kuwa tabu kwani jamaa ameingia kwenye madeni makubwa sana na anafikiria kukimbia nchi

Ungekua wewe ungeshauri nini?

Napatwa na wasiwasi hawa jamaa walianzaje sababu kama ni tamaa zimeanza kuja ghafla basi inaonekana huyu mwanamke anataka kuexceed expectations ambazo mumewe hana uwezo nazo. Jambo la msingi ambalo huyu jamaa anapaswa kufanya kwanza ni kukaa chini na kuongea nae kwanza sababu things will get worse and worse huku unajaribu kum-please mkeo at the same time unajiingiza kwenye matatizo ambayo yeye she even doesn't think of, cousin my take itabidi jamaa aongee nae na amuelezee hali halisi si ajabu huyu mwanamke akawa na wanawake wenzake ambao wanamshauri na kumwambia kuwa "Mwambie mumeo akufanyie hivi mbona fulani anafanyiwa hivi na mumewe bila kufikiria kipato cha mwenzako ni kiasi gani" Si unajua wanawake tena wakikutana.
 
kwani huyo mama anafanya kazi gani ana kipato gani kwa mwezi? ikiwa anao uwez wa kufanya hayo ayatakayo basi wacha afyanye abadilishe hata body yake mwenyewe. Na huyo rafikiyo mwambia awe kama MWANAUME asikubali kupelekeshwa kwa vitu visivyo na msingi waangalie hali halisi ya maisha yao na kipato chao wakiiga tembo kunya watapasuka msamba..... hao wanaoshindana na huyo shemejio kama wao ni wafanyabiashara maarufu wa DUBAI nae ata taka kuwaiga ili wafanane!!?
 
nahisi analijua, ila anaplay cool, kwakweli ni balaa... yani mnaweza mkawa bar halafu anaona gari nzuri, anashoboka hadi soo aisee

She's demanding too much this will result kwenda beyond na kufanya vitu vingine ili mradi tu apate kile alichokikusudia kukipata i can see some signs which kwa kweli sio nzuri kama hali yenyewe ndio hii the dude really needs to sit down and talk to her other than jamaa kukaa tu na kukosa amani something needs to be fixed somewhere
 
thansk Pearl... ukweli ni kwamba wote hatukuiona hiyo tabia before... ila kadri siku zinavyoenda tunaona kama mama anazidi aisee... juzi hapa mamsapu wangu akaniuliza hivi mbona ----- kama anabadilika? nikakosa jibu

sasa je mie nimuulize jamaa au niache tu mpaka jamaa avunje ukimya?

Nafikiri muache tu mshikaji akiona things have become worse lazima atakuja aku-face akwambie otherwise labda kama akuonee aibu
 
Hizi balaa za kimaisha aisee...ila ni ngumu kuingilia kama jamaa hajawambia rasmi....so i propose :tape:

Maji yakimfikia shingoni jamaa obviously he will break the silence sidhani kama ataendelea kuugulia tu moyoni:nono::nono:
 
The best Acid can do ni kumchomekea mshikaji wake kiaina, ili labda kama anaogopa kusema aweze kujiachia na kuongea...
 
Wakuu napata tabu sana na rafiki yanu mmoja wa karibu... sasa mpaka mimi nimeanza kukoas imani na amani maana rafiki yangu anaendeshwa kweli na mamsapu wake

Mama anashindana na kila rafiki wa mumewe, yani ukinunua gari, basi na shem atamuendesha jamaa mpaka anunue gari. Mwanamama anashinda na madalali tu mara kiwanja, mara fremu, mara gari, sasa imeanza kuwa tabu kwani jamaa ameingia kwenye madeni makubwa sana na anafikiria kukimbia nchi

Ungekua wewe ungeshauri nini?

Tangu mkutano wa Beijing umeingia...yaaani imekuwa ni taaaabuuuu....:smile-big::smile-big:
 
Huyo mwanaume si mumshauri awe anajikuna mkono unapofika? Na kwa nini afe na tai shingoni wakati mambo ndivyo sivyo? Au kuna udhaifu gani anaoficha kiasi kwamba anafanya chochote kile asemacho huyo bibi bila kuangalia impact yake baadaye?
 
thansk Pearl... ukweli ni kwamba wote hatukuiona hiyo tabia before... ila kadri siku zinavyoenda tunaona kama mama anazidi aisee... juzi hapa mamsapu wangu akaniuliza hivi mbona ----- kama anabadilika? nikakosa jibu

sasa je mie nimuulize jamaa au niache tu mpaka jamaa avunje ukimya?
huyo ni jamaa yako unaweza kumueleza kwa HEKIMA!
 
Back
Top Bottom