Msada: Tumfanyaje Mke 'mcharuko?'

hizi ndoa zina mambo kweli kweli.

kwanza huyo rafiki yako aache ukimya, amkalishe chini mke wake na kuliongelea hili, maisha ni mipango huyo mwanamke anatakiwa kusemwa haswa, anaonyesha umimi umemzidi.

Acid kama ni rafiki yako mimi naona hata kama hayakuambia labda anaona so kaa nae kwa ukaribu na uongeenae kishkaji mshauri kitu naamini hawezi kukataa ushauri wako
he is a very good friend, tatizo unaweza ukaharibu urafiki kwa kumwambia .... ndio maana nikauliza ni namna gani unaweza kuintroduce hii topic?? au kwa sms ya namba asiyoijua?
 
najua wanaume wengi hawapendi kwenda kwenye starehe (bar/game)wakiwa na wake zao na group yake ya frnds, sasa huyu kama anaambatana na mke wake bac wanapendana vya kutosha, wewe kwann hujaambatana na wako? waache bwana.
ukisoma kuanzia mwanzo utajua kwamba na mimi nikiwa na hao watu huwa nakua na mamsapu
 
angekuwa anaridhika Acid asingeumia bana hadi kulileta hapa. Nyamayao nja iyo tabia ya huyo mdada si nzuri izo ni tamaa tu ambazo hazina maana kabisa

inakuwaje Acid aumie kuliko mhucka anaeumizwa? jamani kipele nijikune nyamayao maumivu ayackie FL?...ingekuwa kama jamaa kamshirikisha Acid hapa ningesema vingine, hajashirikishwa actibue mambo kwenye hiyo ndoa.
 
Conclusion: nawaacha ila hapo itabidi niwe nakaa mbali, maana unaweza ukawa affected na grants halafu ulimi ukateleza
 
inakuwaje Acid aumie kuliko mhucka anaeumizwa? jamani kipele nijikune nyamayao maumivu ayackie FL?...ingekuwa kama jamaa kamshirikisha Acid hapa ningesema vingine, hajashirikishwa actibue mambo kwenye hiyo ndoa.
kama una rafiki unayempenda na una furaha kuwa utakua concerned na issues zake... eniwei kama nilivyosema hapo juu, ninakaa kimya kabisa, ila ntapunguza contacts maana kuna ushindani unaoharibu vikao vya kitimoto
 
Back
Top Bottom