Msaada Kupata Schengen Visa

Msaada Kupata Schengen Visa

Brave_Idiot

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
229
Reaction score
394
Natafuta mtu mwenye official connections ndani ya nchi yoyote ya Schengen anayeweza kunisaidia kupata Residence Permit visa ya mwaka mmoja au zaidi.

Kwa sasa nafanya kazi remote nikiwa Tanzania, hivyo ningependa kupata fursa ya kuishi Ulaya huku nikiendelea na kazi yangu.

Ninatambua kuwa sina strong ties za kutosha Tanzania, jambo ambalo linaweza kufanya maombi yangu ya kawaida ya visa kuwa magumu kuidhinishwa. Hivyo, ningependelea njia halali ya kupata residence permit kupitia Work Visa, Volunteer Program au other program, mradi tu isiwe kazi au program inayohitaji muda wangu mwingi na kunizuia kuendelea na kazi yangu ya remote.

Muhimu kufahamu:

  • Sihitaji agent wala mtu wa kunisaidia kujaza application forms.
  • Nahitaji mtu mwenye official connections anayeweza kunisaidia kupata visa.
  • Malipo yatafanyika baada ya kupata visa. Sifanyi Upfront!
  • Offer yangu ni $5,000+, kulingana na makubaliano yetu.
Kama una uwezo wa kusaidia katika hili au unamfahamu mtu anayehusika moja kwa moja, tafadhali nicheki PM kwa mazungumzo zaidi.

Serious inquiries only.
 
IMG-20261113-WA0050.jpg
 
Back
Top Bottom