Msaada wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wenu

Discussion in 'JF Doctor' started by tracy, Dec 29, 2011.

 1. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nina rafiki ambae ni bulimic,tokea anaanza kukua,tatizo kwa sasa sio weight loss but akila anaumwa tumbo so she vomits na kwa sasa anapata maumivu upande wa kulia wa mbavu na kwenye left breast..kama kuna mtu anaeza kumpa ushauri and kama kuna diet(yenye food ingridients),. NA nina tatizo la kuumwa na mguu esp wa kulia na inawaka moto hadi nkilala i have to uncover them,nimejaribu dawa ya neurobin and bila success.
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sijaelewa elewa... tatizo ni lako (miguu) au la rafiki yako (bulimic)?
  Alafu ulivo sema hapo (akila anatapika) inaonekana kama anorexia, sio bulimia...
  Naomba ufafanue vizuri upate ushahuri (mimi sio doctor)
   
 3. tracy

  tracy JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  mwali,mi tatizo ni miguu..my best friend ndo bulimic,she started just aftr primary,lyk 10yrz ago koz family,frndz tod heq yuko fat!.sa hivi akila tumbo linauma sana so anakitoa,and upande wa kulia plus vichomi kwenye left breast(i blv ni moyo hapo)
   
Loading...