Msaada wenu...

Habar zenu wandugu natumai mko pow?

Jamanii mm ninashida ya 5k kwa mtu mmoja atakaye guswa nimekwama sina hata ya kula 😥

Nikipata nitaleta mrejesho nilishawahi kuomba 2k kipindi cha nyuma nilipata

Kuna ambao watahoji mbona jf unaingia?? (Natumia freebasics)

Please aliye tayari ani-PM nitumie number natanguliza shukrani!🙏
Leta hiyo namba chap
 
Habar zenu wandugu natumai mko pow?

Jamanii mm ninashida ya 5k kwa mtu mmoja atakaye guswa nimekwama sina hata ya kula

Nikipata nitaleta mrejesho nilishawahi kuomba 2k kipindi cha nyuma nilipata

Kuna ambao watahoji mbona jf unaingia?? (Natumia freebasics)

Please aliye tayari ani-PM nitumie number natanguliza shukrani!
Embu kuja pm tumalize hiyo kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar zenu wandugu natumai mko pow?

Jamanii mm ninashida ya 5k kwa mtu mmoja atakaye guswa nimekwama sina hata ya kula 😥

Nikipata nitaleta mrejesho nilishawahi kuomba 2k kipindi cha nyuma nilipata

Kuna ambao watahoji mbona jf unaingia?? (Natumia freebasics)

Please aliye tayari ani-PM nitumie number natanguliza shukrani!🙏
njoo
 
Wewe ni baby kweli au ni bibi bomba..
Tujue kwanza
Habar zenu wandugu natumai mko pow?

Jamanii mm ninashida ya 5k kwa mtu mmoja atakaye guswa nimekwama sina hata ya kula

Nikipata nitaleta mrejesho nilishawahi kuomba 2k kipindi cha nyuma nilipata

Kuna ambao watahoji mbona jf unaingia?? (Natumia freebasics)

Please aliye tayari ani-PM nitumie number natanguliza shukrani!
 
Wakuu nipo serious bado sijapata msaada wowote nimetoa namba pm lakin sijapata msaada 😥😥
 
Wakuu nipo serious bado sijapata msaada wowote nimetoa namba pm lakin sijapata msaada
Mbona kuna njia nying 2 za kupata hiyo pesa bila kuja kusumbuana humu....
1.Tala
2.Branch
3.salary advance
4.Tigo nivushe
5.M-pawa
Inamaana zote hizo zimefeli....
Na huko mkoa ulkoenda huna mwenyeji had upate tabu zote hizo!!!?
Jifunze kubet pia itakusaidia,la sivyo utaliwa jicho binti. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom