Msaada wenu...

unasema huna hata hela ya kula na bado hujapata ina maana hadi sasa masaa 24 hujala kitu ila upo busy unachat humu. nenda hata kwa jirani uombe kula usitufie ndugu yetu

Ninashida zaid ya hela ya kula mkuu
 
Sometimes tunashindwa kutoa msaada katika mazingira kama haya japo pesa ni ndogo sana. Nakushauri vzur muwe mnataja mahali mlipo ili watu wa eneo hilo wawasaidie while wanakuona maana mtu ni rahisi kumtambua mtu mwenye shida amwonapo na kujiridhisha.

NK:
Inauma sana kumsaidia mtu ambae kalala kitandani then anatengeneza pesa bila jasho au kudume mwenzako kakaa anapiga story kijiweni anatengeneza pesa kupitia mwamvuli wa jinsia ya kike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom