Msaada wenu...

Kama unaishi na marafiki vizuri kula hakutakiwi kua tatizo labda hela za vocha na nauli
Pia kama uliomba jana, hadi leo hujapata si maana yake umeshasurvive hauihitaji tena?
 
Kama unaishi na marafiki vizuri kula hakutakiwi kua tatizo labda hela za vocha na nauli
Pia kama uliomba jana, hadi leo hujapata si maana yake umeshasurvive hauihitaji tena?

Uhitaji bado niko nao mkuu kutokana na sehemu nilipo
 
Uliomba 2k ukapata Leo umeongeza has I 5k. We noma.
NASUBIRI HUKUMU YANGU KUTOKA TALA.
Habar zenu wandugu natumai mko pow?

Jamanii mm ninashida ya 5k kwa mtu mmoja atakaye guswa nimekwama sina hata ya kula

Nikipata nitaleta mrejesho nilishawahi kuomba 2k kipindi cha nyuma nilipata

Kuna ambao watahoji mbona jf unaingia?? (Natumia freebasics)

Please aliye tayari ani-PM nitumie number natanguliza shukrani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom