Msaada wenu wadau "hapa nimepata asilimia ngapi"

Nimetumiwa hivyo kwenye profile angu sasa sijaelewa nimepata asilimia ngapi ya mkopo
 
Mimi mwenyewe nimewekewa hivyo but nmeuliza wamesema nimepata mkopo nisubiri jina na asilimia chuoni.
 
Unaangalia betr yang au unatoa msaada
Kwasababu umeuliza asilimia..najua ni za mkopo lkn ktk picha yako hakuna sehemu ujayoweza kupata hizo asilimia. Nikajua basi unsuliza asilimia za battery level. Kama kweli upo serious...ktk hiyo screenshot yako nani anayeweza kupata asilimia zingine tofauti na battery level?
 
Mkuu nashukuru kwa kuniongezea siku za kuishi maana nimecheka mno mpaka wapangaji wenzangu wameamka
 
Endelea kuangalia bettry percntge
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…