Yaan hayo ni mapenzi tu yanakuhangaisha adi unajichukia vile ulivyo??? Hiyo sio sababu ya kupunguza upendo kwako adi kuachana we jua tu Mungu ajakupa fungu lako tulia utapewa muda ukifikaHapana mkuu naitaji mwili wa kawaida ila sio wembamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuuu zakoMti wa hisopo huo hauchundi miaka 800.....wozzahhh[emoji23][emoji23]hadi kristo anarudi uko vilevile...tyeeeinaa$$
Asisahau awe anashushia na beer au Grand Malta. Miezi 6 uliyosema mingi anahuitaji mwezi 1 tukula mdudu pendwa mara 3 kwa week nakupa miez 6 tu utakuwa kama container
Ye kataja sa we chuo kinakuhusu nn kama hujaenda chuo pta kule au nenda hata sa hvinamaana humu jf kila member amesoma mpaka chuo?
Wacheni ulimbukeni wa kutaja vyuo tu pasi na ulazima
Nmebak kusema labda nkizaa ntanenepa lakn nko comfortable na wembamba wangu make najihs mwepesWw unene huez kuulazimisha utanenepa mda wowote bila hata we kutegemea na kama mtu kakupenda ulivo sidhan kama hlo swala linaeza mfanya akuache otherwise ana matatzo
Sa hv kwel unatafta unene unajitahd kula lakn ndo hvo kunenepa s kula tu hv kama hujasettle unawaza maisha haya unataka unenepeje mm n kama ww nilmalza advance nko vzur tu nmenenepa sasa baada ya kuanza chuo pilika za chuo msuli kwel nilkuwa msikule yan nguo zote nilkuwa navaa hazijawah nitosha ad wa leo yan nko skeleton kama ww niljitahd kula vzur cjui kufanyaje ila cjawh ongeza nyama nna mwaka sasa tangu nimalze chuo sion mabadiliko yoyote nmeamua kusubir huo unene mpaka utakapotaka mwenyewe nmeridhika na mmewangu inabid aridhike japo na yy jtihada kama zote
Ushauri mzuri...!Ww unene huez kuulazimisha utanenepa mda wowote bila hata we kutegemea na kama mtu kakupenda ulivo sidhan kama hlo swala linaeza mfanya akuache otherwise ana matatzo
Sa hv kwel unatafta unene unajitahd kula lakn ndo hvo kunenepa s kula tu hv kama hujasettle unawaza maisha haya unataka unenepeje mm n kama ww nilmalza advance nko vzur tu nmenenepa sasa baada ya kuanza chuo pilika za chuo msuli kwel nilkuwa msikule yan nguo zote nilkuwa navaa hazijawah nitosha ad wa leo yan nko skeleton kama ww niljitahd kula vzur cjui kufanyaje ila cjawh ongeza nyama nna mwaka sasa tangu nimalze chuo sion mabadiliko yoyote nmeamua kusubir huo unene mpaka utakapotaka mwenyewe nmeridhika na mmewangu inabid aridhike japo na yy jtihada kama zote
Safi sana...jivunie ulivyo.You're the cute one kutokana na huo mwonekano wako.Nmebak kusema labda nkizaa ntanenepa lakn nko comfortable na wembamba wangu make najihs mwepes
SureYaan hayo ni mapenzi tu yanakuhangaisha adi unajichukia vile ulivyo??? Hiyo sio sababu ya kupunguza upendo kwako adi kuachana we jua tu Mungu ajakupa fungu lako tulia utapewa muda ukifika
Aaah!aya bhnaSafi sana...jivunie ulivyo.You're the cute one kutokana na huo mwonekano wako.
Tatizo la watanzania kuona kusoma chuo ni luxury pasi kujua ni haki ya msingi. Acha wivu boss kama jamaa kutaja chuo kumekuumiza kausha hasira imalizie kwa serikali yako inayokopesha wanafunzi wake wakasome badala ya kuwasomesha yenyewe.inamaana humu jf kila member amesoma mpaka chuo?
Wacheni ulimbukeni wa kutaja vyuo tu pasi na ulazima
Aah umenikumbusha inaitwa body mass index(BMI) ambayo n uzito kugawa kwa urefu na inasemekana isiwe chin ya 18 sa mwenzio pamoja na wembamba wangu nilcalculate hyo BMI nkakuta nna 20 ushee nkasema potelea mbalUna urefu kiasi gani na uzito kiasi gani?? Ili tujue nini tatizo ,urefu na uzito vinatakiwa viwe na uwiano mzuri, inaweza kua ni abnormality
Bila picha yako ni ngumu kukushauri mana hatujui wembamba wako upo katika viwango gani
Inaonekana hampitii page zote.weka picha kwanza tuone huo wembamba..... Maana wengine huku tuko wembaba na hatupitii hizo changamoto za ajabu ajabu