Msaada wenu wa haraka, wembamba unaninyima amani

Msaada wenu wa haraka, wembamba unaninyima amani

Nunua vidonge vya appetite booster ni 75 tu unaongezeka unene ata wale wapiga vyuma wanatumia ili kuwa na muscles pana....njoo pm kwa maelekezo zaidi
 
inamaana humu jf kila member amesoma mpaka chuo?

Wacheni ulimbukeni wa kutaja vyuo tu pasi na ulazima
Ha haa mkuu kwani wewe umeishia darasa la ngapi? Kumbuka hata VETA ni chuo.
 
Asubuhi kunywa Lita moja ya mafuta ya kupikia,mchana hivyo hivyo,na jioni kwa muda wa siku tatu pekee kamaa hujamfikia marehemu komba njoo unipm
 
Ooh kwaiyo mkuu ulikiua una soma college .lakini vipi masomo yalikua yana panda eehlakini kwa nini graduation wame ichelewesha
 
Wembamba sio inshu.

Inshu ni Uzito ,kwa mwanaume lazima uanzie kilo 55 +

Lkn pia kuna masuala ya Genetics .

Meza ARVs uumuke umuke kama kuku wa kisasa
 
Mkuu jiamini sana na ujipongeze! Achana na hao mademu amini katika uwezo wako wa kufikiri!
Unene ni mateso makubwa
Angalia channel ya TLC Dstv kile kipind cha my 600lbs ndo utagundua thamani ya wembamba wako!
Watu wanahangaika kulipia mapesa mengi gym ili wapungue!
Hakuna mahali popote Duniani kuna mtu aliwahi kulazwa eti kwa sababu ni mwembamba
Ila kuna maelf wako hosptal wamelazwa kutokana na unene wao!
Jiamini tu kaka uko poa kabisa
Mie nautamani wembamba mpka nimekuwa mteja wa konyagi kvant nk lakin bado tu!
 
daaaaahh jaman
hao nadhan hawakukupenda sidhan kama mtu unaweza kumuacha mtu umpendaye kisa eti wembamba hiyo ni big nooooo kabsaa but pole kwa ilo,we ridhika tu na mwili wako utampata ataye kupenda ivo ivo ulivoo.
Nadhan mtu akikupenda ama kukubali kuwa na ww. Anakuwa ameshakuona utakuwaje. Sasa akama anakuacha sababu ni mwembamba huyo hakukupenda, basi alikuja na malengo yake.. lakin hayakutimia.

Ndio akili za baadhi ya dada zetu hawa.
 
Tembelea duka la kilimo na mifugo nunua vidonge vya Multivitamin vya nguruwe, meza kimoja asubuhi na jioni.

NB: Andaa chakula cha kutosha kabla na baada ya kumeza. Meza kwa mwezi mmoja then njoo utupe mrejesho
Mkuu si sumu hiyo boss.. dawa ya wanyama atumie binadamu?
 
Back
Top Bottom