Rocky City
JF-Expert Member
- Nov 22, 2017
- 982
- 749
Urefu katika mita au sentimita??Aah umenikumbusha inaitwa body mass index(BMI) ambayo n uzito kugawa kwa urefu na inasemekana isiwe chin ya 18 sa mwenzio pamoja na wembamba wangu nilcalculate hyo BMI nkakuta nna 20 ushee nkasema potelea mbal
