inanigomea naomba maelekezo ya kina zaidi
nikiifungua inaload then inaandika connection time out-retry
chukuwa hii iko poa sana. Fast_Pro_for_Facebook_v1.9.9.2.apk
vodacom
Natumia sumsung galaxy Ace, inafungua internet kwa kasi lakini tatizo nikiingia facebook inagoma kuupload picture pia hata nikitaka kudownload inagoma.naomba mnisaidi jinsi ya kutatua hili tatizo.natanguliza shukrani wadau.