Msaada wa kuongeza space kwenye sumsung galax j7prime

Msaada wa kuongeza space kwenye sumsung galax j7prime

tiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
441
Reaction score
259
Habari wadau mimi ninatumia sumsung j7prime nime download nyimbo kama 20 na aplication wasap, istagram, c.scaner, vidmate imejaaa hamna nafasi tena. Nikitaka kudownload kitu inaniletea option ya kufuta app zilizopo. Naomba mwenyekujua jinsi ya kuongeza nafasi au kutumia memory card kama internal memory msaada plz
 
Namna rahisi ni kujifunza kuwa na file Management nzuri.

Kama una nyimbo, Videos na vitu vingine ( Stuffs) hakikisha vinakaa kwenye Memory card.

Apps tuu ndio zikae kwenye Internal storage. Pia kuna baadhi ya apps zinakubali kukaa kwenye Memory card hivyo basi zihamishe.

Icho unachokitaka kufix SD card kuwa internal storage inawezekana subiri wataalamu waje
 
Kwanza kinachojaza storage huwa ni ma doc na picha toka apps mbali mbali. kama una telegram na whatsapp haswaa.nenda kwenye file manager itafute whatsapp na telegram kama unazo. delete picha zote utapata space ya kutosha.
 
Nenda kwenye Android alafu data.. Delete mafile ya data yoteee space itarudi kubwa tuu
 
Back
Top Bottom