msaada wenu tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wenu tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by wakuvuma, Sep 25, 2012.

 1. w

  wakuvuma Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vip kwa wale watakaotaka kubadilsha faculty hizi registration zinazofanywa vyuoni hazitoleta usumbufu maana unakuta form zmeeandikwa mpaka programme yako unayosoma
   
 2. S

  Safhat JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah kwel mkuu na mm nna tatzo ilo ilo cjui itakuaje.ila subr waje wa2eleweshe..
   
 3. w

  wakuvuma Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yan apa raia wanabishana bila kupata jibu halaf wote 1st yr
   
Loading...