Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,499
- 9,931
Mahitaj iko pana sana.Kwani nini maana ya hitaji? π€¦ββοΈ
Mahitaj iko pana sana.
Ila tumezoea ukisema naenda nunua mahitaji ya home, unaenda kununua vitu vinavyotumika na kuisha.
Kama chakula. Gesi, sabuni na vitu vya aina hiyo.
Na sio kununua Makochi, TV au Fridge.
Sawa. 780k.Kwenye TUmezoea mie simo π
Mtu akisema anaenda kununua mahitaji ya nyumbani namuelewa kwa upana huo ulioandika
Naweza kwenda kununua pasi,fridge,jiko na vingi tu ambavyo ninahitaji kuwa navyo nyumbani
Sawa. 780k.
Alaf akaanza kusema na pochi ya 35K na Simu s22. Ni kama 450k hivi. Na cheni ya gharama.
πππππ
Na hapa ndio nikapata mashaka.
na pia akasema
"Kwa kweli , kwa umasikini wangu, niliumia sana".
Kwan kuna mwana JF masikini. Si wote wako na uwezo πππ
Una akili nyingi Sana,Mahitaji ya home inaweza kuwa fridge ama some other electronic equipment
Ama ukisikia mahitaji ya home unadhani ni nyanya na vitunguu baaas?
Achana naye Huyo.Mmh sasa hayo mengine ya financial status ya wanaJF sifahamu kwasababu sijawahi kukutana na mwanaJF yoyote
Lakini mwisho wa siku 780K inaweza kutumika kununua mahitaji ya nyumbani
We mwemaπππΏ
Mkuu usiiingie mkenge yani kikosi kikingine hadi kuwa mzoefu nacho ni mtiti.Kuna jamaa kanicheki anipe chenye 2230 tubadilishane nimpe changu na ukiangalia kikosi chake ni kizuri kuliko changu
Kule wamenyooka kaka nko na ushuhuda ππWaganga wa siku hizi wahuni tuπππΏ
Hao ni waganga ongea nao vizuri, hawana gharama.Mmmh
Gharama za Warld haziwezi πWarld uchawi anaotumia kupata epic hatoboi hapa???π