Msaada wenu nataka wana jamii forums

Apr 8, 2012
29
0
Nimenunuwa modem yangu ya vodafone na nikawa natumia kama kawaida kwa kazi zangu kwenye internet lakini kutokana na hali nikaamuwa kuitolesha lock ili niweze kutia aina yoyote ya laini lakini kwa sasa niki install katika pc nyengine huwa inaingia program yake ya vodafone kisha kabla ya kumaliza instoletion inaji remove wenyewe bila ya kui cencel sasa naombeni msaada wenu nifanyeje ili kuwa na2mia modem yangu kama kawaida lakini kuna baadhi ya computer huwa naitumia kama kawaida
 
fanya hivi tengeneza folder kwenye desktop halafu chomeka modem baada ya hapo copy ile software iliopo kwenye mordem
paste ktk folder baada ya hapo chomoa mordem yako halafu fungua ile software ya mordem uliyoiweka ktk folder install kwa kutumia ile software bila ya kuchomeka mordem ikimaliza ku install sasa chomeka mordem ita detect jaribu
 
kama uliichakachua mwenyewe, basi utakuwa unajua, fanya ku update dashboard utakuwa umemaliza shida
 
Back
Top Bottom