Tangu nitumie hizi dawa VIGOMAX uume wangu hausimami asubuhi kama ilivyo kawaida kwa wanaume

Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
2,550
6,107
Madaktari na wataalamu wa afya naombeni msaada wenu tafadhali kabla sijatumia hizo dawa hapo nilikuwa vizuri tu nikiamka asubuhi nakuta mwamba kasimama dede.

Lakini tangu nitumie hizo dawa japo sikuzimaliza zote nilibakiza kama tano hivi baada ya kuona hiyo hali uume ulikuwa hausimami na mpaka leo uume hausimami kabisa asubuhi ni kwa nadra sanaaa

Naombeni msaada wakuu nifanyeje ili niweze kurudia kwenye hali yangu ya kawaida?
Msaada tafadhali wakuu.

vIGOMAX-FORTE-TABLETS-768x768.jpg
 
🤣🤣🤣
Sasa ulikua njema kabisa mnara unasoma, ukaona haitoshi, subiri nitafte matatizo, sasa mnara hausomi kimeumana.

Hii n kama yule jamaa wa naijeria anaesema "i dont want peace, i want problems".

Ingekua mbele ningekushauri ufungue kesi upige hela, lakn hapa kwa bi mkubwa, hali ni mbaya.

Tafta solution kabla hujaanza kupata sonona.

Haikomolewi mkuu...
 
Uume husimama kutokana na damu kwenda kwenye uume, ukiona hausimami maana yake una matatizo kwenye mishipa ya damu inayoenda kwenye uume.

Hizo dawa zinachofanya ni kulazimisha damu iende kwenye uume kwa kuongeza msukumo.

Hizo dawa husababisha kichwa kiume, zinasababisha macho kuwa na uoni hafifu, zinaweza kukiathiri zaidi

Zinaweza kukuua tena.

Suluhisho

Nenda hospital, onana na urologist atakupa maelekezo au nenda BMH Dodoma wameanza zibua mishipa ya kutibu hilo tatizo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Walimwengu hebu kubalini majaaliwa yenu. Kama ilivyo kuna watu warefu na wafupi halkadhalika kuna wenye kwenda sekunde na kumaliza na wale wa kukaa kifuani masaa kama vile wanataka kujenga kwenye mwili wa mwenzao.

Papa haikomoleki, ile sehemu inatoka kichwa cha mwanadamu, unadhani utaweza ikomoa?

Mwanamke akiamua kuridhika hata kidole kinamridhisha tena kwa sekunde chache tu na akiamua kutoridhika hata umkokomeka masaa 5 mfululizo ataona kama unamtekenya tu.

Kitakwimu hasa, ili ionekane umemlala demu ni ndonga ikiingia kwenye tupu yake tu, haijalishi ni kwa sekunde ngapi. Hapo hata akikutangazia umekojoa ndani ya sekunde ukweli utabaki wakiitwa waliomlala na wewe umo.

Raha ya kujamiiana ni kufika mshindo. Sasa ikiwa unafika mshindo hata kwa dakika unahangaika nini juu ya kifua cha mwenzio???

Ikiwa kuna barabara shortcut ya kufika unakoelekea ya nini uzunguke ndugu??? Wewe ingia ndani chomeka, kojoa ndani ya sekunde, inuka ukung'ute kende na mluzi wa kishujaa juu halafu sepa. Kama hajaridhika atatafuta kwa kumfikisha kipindi hicho wewe mwepesi na goli lako la sekunde.

Sasa kwa tamaa ya kudisa masaa umepoteza uwezo wako wa kudisa hata kwa sekunde. Pole mwamba, sasa hivi kama ni muislamu ingia kwenye usheikh utubu na kama mkristo okoka tu maana mashine imeshalala yoooo😂😂😂
 
Uume husimama kutokana na damu kwenda kwenye uume, ukiona hausimami maana yake una matatizo kwenye mishipa ya damu inayoenda kwenye uume.
Hizo dawa zinachofanya ni kulazimisha damu iende kwenye uume kwa kuongeza msukumo.

Hizo dawa husababisha kichwa kiume, zinasababisha macho kuwa na uoni hafifu, zinaweza kukiathiri zaidi

Zinaweza kukuua tena.

Suluhisho

Nenda hospital, onana na urologist atakupa maelekezo au nenda BMH Dodoma wameanza zibua mishipa ya kutibu hilo tatizo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Karibu BMH Dodoma. Ni million zako 6 Tu na tatizo lako linakwisha kabisa.
 
Msininukuu vibaya wazee kama ni kupeleka moto napeleka vizuri sana wala hilo halinipi wasiwasi kabisaa. Tatizo ni hiyo hali ya kuamka asubuhi nakuta uume hausimami na unakuta nimekaa zaidi ya wiki sijasex.
 
Madaktari na wataalamu wa afya naombeni msaada wenu tafadhali kabla sijatumia hizo dawa hapo nilikuwa vizuri tu nikiamka asubuhi nakuta mwamba kasimama dede.

Lakini tangu nitumie hizo dawa japo sikuzimaliza zote nilibakiza kama tano hivi baada ya kuona hiyo hali uume ulikuwa hausimami na mpaka leo uume hausimami kabisa asubuhi ni kwa nadra sanaaa

Naombeni msaada wakuu nifanyeje ili niweze kurudia kwenye hali yangu ya kawaida?
Msaada tafadhali wakuu.

View attachment 2706858
Kk tiba hipo alafu sio bei njoo inbox nikupe tiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom