Msaada wenu kuhusu PEP ( dawa za kuzuia ukimwi baada ya ngono)

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
2,055
Reaction score
3,436
Wanazengo nimemvaa mwanamke mmoja ila na wasiwasi sana na mbaya zaidi nilipiga kavu. Kwa mwenye ufaham hivi zile dawa za kuzuia maambukiz baada ya kupiga demu mweny ugonjwa yaan PEP zinapatikana kweny hii hospital ya sinza Palestine???
 
Nenda haraka sana hata kama ni sasa hivi upate kinga japo za siku tatu then Jtatu utapewa za mwezi.
Vijana tunawaonya kila siku acheni kufata stori za kununua malaya mitandaoni.

Anayekwamnia anatomba wanawake 6 kwa siku anakudanganya unaingia kichwa kichwa oa mke wako nyumbani utulie utafute maisha.

Hakikisha unapata dawa ndani ya masaa 72 ukipata ndani ya msaa 24 ni bora zaidi na uhakika.

Kama huyo mwanamke unamkubalia mwite akapime kwanza ili usife kwa presha.

Baada ya kusema hayo sikiliza Mziki huu wa Luckydube

"Sins of the Flesh" 1992

" Where there is pleasure there is always a danger"
 
kabla ya kutafuta dawa mchukue mkacheki afya wote au ulimuokota? usikute hana ngoma ila wasiwasi wako tu,

unywaji wa dawa hovyo hovyo sio mzuri kwanza ukimwi hauui ukizingatia dawa na lishe bora🤗

dj naomba nisindikize na kile kibao cha professor Jay pamoja na feruzi💃💃
 
Nenda haraka sana hata kama ni sasa hivi upate kinga japo za siku tatu then Jtatu utapewa za mwezi.
Vijana tunawaonya kila siku acheni kufata stori za kununua malaya mitandaoni.

Anayekwamnia anatomba wanawake 6 kwa siku anakudanganya unaingia kichwa kichwa oa mke wako nyumbani utulie utafute maisha.

Hakikisha unapata dawa ndani ya masaa 72 ukipata ndani ya msaa 24 ni bora zaidi na uhakika.

Kama huyo mwanamke unamkubalia mwite akapime kwanza ili usife kwa presha.

Baada ya kusema hayo sikiliza Mziki huu wa Luckydube

"Sins of the Flesh" 1992

" Where there is pleasure there is always a danger"
Ahsante kwa ushauri japo umeniattack kwa shtuma za uongo. Malaya gan akubali kupigwa kavu?? Sio Malaya huyu
 
Back
Top Bottom