Msaada wenu kabla haijafika saa sita usiku jamani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wenu kabla haijafika saa sita usiku jamani.

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Ta Kamugisha, Oct 18, 2011.

 1. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  Waungwana, mimi nachangiaga topic tu na nilikuwa sijajua namna ya kupost topic yoyote! ila leo nimebahatisha, sasa wanandugu naomba mnielekeze namna ya ku-attach picha, yaani hapa ndo ishu kwangu, mimi natumia sgh-d780, samsung. tafadhali msinicheke nielekezeni. mkinisaidia kabla ya saa sita.
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  ikifika saa sita usiku itakuwaje? ama package inaeksipaya? pole,ngoja wataalamu wa simu waje
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Duh! hufai kuwa baba au mama wa familia kama sentensi zako ndio tata hivyo!! Haya subiri wanakuja!
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Try here,
  Presentation2.jpg
   
 5. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kama nilivyokuelekeza.
   
 6. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  Dar city, mimi natumia simu iyo link si mpaka uwe na comp?
   
 7. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Mtumie picha yako{email} mtu mmoja wakuitwa "PAW" au "INVISIBLE a.k.a ROBOT" then watafanya hvyo utakavyo.
  AHSANTE
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo ukifika saa 6 ujaambiwa unajilipua? Jamani ebu msaidieni huyu jamaa kabla ya saa 6
   
 9. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  elli utata wa sentensi upo wapi? maana sijakusoma!
   
 10. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  sitajilipua bali nkiambiwa kabla muda huo ntafurai kinoma maana siku itakuwa imeisha vizuri kwa kuongeza kitu kichwani.
   
 11. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Unatakiwa kubonyeza hiyo button Dark City anaoonyesha ila itategemea sana na simu kama itaweza kuupload picha, maana simu nyingi za aina hiyo hauwezi kubrowse files kutoka kwenye browser, pia inategemea na browser unayotumia so ni ngumu kukupa ushauri kamili.

  Pia kama simu yako ina uwezo wa kuituma picha kwa njia ya email unawezsa kuituma kwenda upload@imgur.com hii itaipload picha yako kwenye service zao kisha itakupa link, link unaweza kuibandika humu.
   
 12. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa ndo wakina nani tena? na ntawatumiaje picha wakati hata ku-attach picha kwenyewe kumenishinda mkuu?
   
 13. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  nimekusoma mkuu ngoja nijaribu
   
 14. facebook

  facebook Senior Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwakifupi huwezi kufanya attachment kwa kutumia cm. Period!
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Hauwezi ku attach picha kwenye mobile version. Watumie mods hizo picha ili wakusaidie kuzi attach.
  Tumia email
  support@jamiiforum.com
   
 16. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,078
  Trophy Points: 280
  shukrani mkuu ngoja niwe mpole tu!
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani.
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ka nilivokuelekeza kwenye pm fanya hivo
   
 19. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Kama tatizo ni mobile version bonyeza PC Mode utarudi full version ya site, hilo sio tatizo. Tatizo ni kama simu yako ina uwezo wa kuhandle full site na kama inaweza kubrowse file system ya simu kuupload picha.
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Nafikiri ulifanikiwa.
   
Loading...