Diploma ya Electrical eng. vs Bachelor of Science with Education vs Self study in IT

Zero_and_One

Member
Jun 4, 2019
43
125
Mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa .Lakini nimekuwa mfuatiliaji kwa muda wa miaka mingi sana na nimenufaika na mengi.Hii ndo post yangu ya kwanza katika jukwaa la magreat thinker.

Niende kwenye mada husika ,Nimekuwa nikijisomea peke yangu kwa muda wa miaka miwili sasa mambo yanayohusu IT .Namshukuru Mungu nimeweza kujifunza vitu vingi sana kwa mfano basic katika programming ikiwemo C, C++,php , javascript and Java. Lakin nikaamua kujifunza Data structure mambo ya Linked list,Queues,graph,Trees. Nataka Mungu akinijaalia Afya niweze kujifunza Algorithms just basic.Na katika utengenezaji wa website nimewenza kujifunza basic za Html and css ,bootstrap na programming language ambazo nimeshazitaja hapo juu na pia framework ikiwemo Laravel ,React na malengo pia ya kuja kusoma Django.Na mengineyo mengi .
NIMEWEZA KUFANYA YOTE HAYO KUPITIA YOU TUBE AND GOOGLE.
NImesubscribe channel nyingi saana ambapo ndo najifunzia ikiwemo thenewboston,mycodeschool,traversy Media,freeCodeCamp,MIT,Chris Hawkes ,cs dojo n.k.
natumia Youtube downloader na Savefrom.net kudownload tutorial na PDF DRIVE , library genesis kudownload BOOKS.

Ndoto zangu nataka baadae nije kuwa Eng. wa maswala ya umeme nimetokea kuipenda sana programming lakin bado ndoto zangu za maswala ya umeme hazijapotea.So naomba ushauri ndugu zangu je ni nikasome ualimu kwa maana alama zangu za advance zinaniruhusu kwenda huko napia naupenda lakini sio first priority, kuhusu UMEME nahisi ushindani utakuwa mkubwa saan hivyo sito weza kupata ,kwa alama zangu (naomba usiniulize nina ngapi?)sio kubwa saan, ingawa nina vigezo vinavyohitajika AU nianze tu diploma ya umeme AU nibaki nikiendelea kupambana na maswala ya IT.
Nilibaatika kusoma PCM.

please naomba
ushauri wako maana nipo njia panda na miaka inazidi kunitupa mkono.
Popote nilipokosea naomba mnisamehe.Kiswahili changu hakipo vizuri.

Sikuweza kuendelea na masomo kwa sababu ya matatizo yangu binafsi.
 
Alvajumaa

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
3,184
2,000

Mkuu c++, java hayo ni mambo ya IT na mtu wa IT na umeme tofauti,
Kidogo hapo kwenye Data structure uongeze na MATLAB, autoacad kingine umeme ni mzuri maana anaingia sehemu nyingi sana kuanzia service, production,
Mtu wa umeme hachuji maana anafit sehemu nyingi sana
 
Java nimekuwa naisoma sio kwasababu ya mwaswala ya umeme,bali ni kwa sababu ya Android App Development.
Shukrani ndugu kwa ushauri wako.
 
mosabiy

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,507
2,000
Mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa .Lakini nimekuwa mfuatiliaji kwa muda wa miaka mingi sana na nimenufaika na mengi.Hii ndo post yangu ya kwanza katika jukwaa la magreat thinker.
Niende kwenye mada husika ,Nimekuwa nikijisomea peke yangu kwa muda wa miaka miwili sasa mambo yanayohusu IT .Namshukuru Mungu nimeweza kujifunza vitu vingi sana kwa mfano basic katika programming ikiwemo C, C++,php , javascript and Java. Lakin nikaamua kujifunza Data structure mambo ya Linked list,Queues,graph,Trees. Nataka Mungu akinijaalia Afya niweze kujifunza Algorithms just basic.Na katika utengenezaji wa website nimewenza kujifunza basic za Html and css ,bootstrap na programming language ambazo nimeshazitaja hapo juu na pia framework ikiwemo Laravel ,React na malengo pia ya kuja kusoma Django.Na mengineyo mengi .
NIMEWEZA KUFANYA YOTE HAYO KUPITIA YOU TUBE AND GOOGLE.
NImesubscribe channel nyingi saana ambapo ndo najifunzia ikiwemo thenewboston,mycodeschool,traversy Media,freeCodeCamp,MIT,Chris Hawkes ,cs dojo n.k.
natumia Youtube downloader na Savefrom.net kudownload tutorial na PDF DRIVE , library genesis kudownload BOOKS.
Ndoto zangu nataka baadae nije kuwa Eng. wa maswala ya umeme nimetokea kuipenda sana programming lakin bado ndoto zangu za maswala ya umeme hazijapotea.So naomba ushauri ndugu zangu je ni nikasome ualimu kwa maana alama zangu za advance zinaniruhusu kwenda huko napia naupenda lakini sio first priority, kuhusu UMEME nahisi ushindani utakuwa mkubwa saan hivyo sito weza kupata ,kwa alama zangu (naomba usiniulize nina ngapi?)sio kubwa saan, ingawa nina vigezo vinavyohitajika AU nianze tu diploma ya umeme AU nibaki nikiendelea kupambana na maswala ya IT.
Nilibaatika kusoma PCM.
please naomba
ushauri wako maana nipo njia panda na miaka inazidi kunitupa mkono.
Popote nilipokosea naomba mnisamehe.Kiswahili changu hakipo vizuri.
Sikuweza kuendelea na masomo kwa sababu ya matatizo yangu binafsi.
I.T HIYO NI BASIC USIIACHE. MENGINE JUU YAKO
 
Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
4,259
2,000
sasa kwa nini usiutumie huo ujuzi wako wa miaka miwili kijiajiri au unataka vyeti ili iwe rahisi kupewa kitambulisho cha taifa
 
Ramo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
1,153
2,000
Kama unaweza soma vyote yaani IT na UMEME kwani utapiga pesa kote kote.
 
Ramo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
1,153
2,000
Soma kimoja kwanza kati ya umeme na it, kisha una malizia na kingine...
 
njoo kwetu

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
508
1,000
Kasome umeme dogo.. Kama umeweza kufanya hvyo vyote... Bas umeme unakufaa... Kuna baadhi ya vyuo wanatoa electrical and telecommunication enginering.... Utafaidika sana... Achana na hayo mengne
Mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa .Lakini nimekuwa mfuatiliaji kwa muda wa miaka mingi sana na nimenufaika na mengi.Hii ndo post yangu ya kwanza katika jukwaa la magreat thinker.

Niende kwenye mada husika ,Nimekuwa nikijisomea peke yangu kwa muda wa miaka miwili sasa mambo yanayohusu IT .Namshukuru Mungu nimeweza kujifunza vitu vingi sana kwa mfano basic katika programming ikiwemo C, C++,php , javascript and Java. Lakin nikaamua kujifunza Data structure mambo ya Linked list,Queues,graph,Trees. Nataka Mungu akinijaalia Afya niweze kujifunza Algorithms just basic.Na katika utengenezaji wa website nimewenza kujifunza basic za Html and css ,bootstrap na programming language ambazo nimeshazitaja hapo juu na pia framework ikiwemo Laravel ,React na malengo pia ya kuja kusoma Django.Na mengineyo mengi .
NIMEWEZA KUFANYA YOTE HAYO KUPITIA YOU TUBE AND GOOGLE.
NImesubscribe channel nyingi saana ambapo ndo najifunzia ikiwemo thenewboston,mycodeschool,traversy Media,freeCodeCamp,MIT,Chris Hawkes ,cs dojo n.k.
natumia Youtube downloader na Savefrom.net kudownload tutorial na PDF DRIVE , library genesis kudownload BOOKS.

Ndoto zangu nataka baadae nije kuwa Eng. wa maswala ya umeme nimetokea kuipenda sana programming lakin bado ndoto zangu za maswala ya umeme hazijapotea.So naomba ushauri ndugu zangu je ni nikasome ualimu kwa maana alama zangu za advance zinaniruhusu kwenda huko napia naupenda lakini sio first priority, kuhusu UMEME nahisi ushindani utakuwa mkubwa saan hivyo sito weza kupata ,kwa alama zangu (naomba usiniulize nina ngapi?)sio kubwa saan, ingawa nina vigezo vinavyohitajika AU nianze tu diploma ya umeme AU nibaki nikiendelea kupambana na maswala ya IT.
Nilibaatika kusoma PCM.

please naomba
ushauri wako maana nipo njia panda na miaka inazidi kunitupa mkono.
Popote nilipokosea naomba mnisamehe.Kiswahili changu hakipo vizuri.

Sikuweza kuendelea na masomo kwa sababu ya matatizo yangu binafsi.
 
Zero_and_One

Member
Jun 4, 2019
43
125
Shukrani.Nimejaribu kufuatilia masomo ya CS naona bado kunauhitajio wa mtu kujiongeza akimaliza masomo yake maana karibia kila siku mambo hubadilika.So nimetaka nikasome either UMEME or Education huku skills za computer programming nikiwa zafuatilia.Maana kila kitu kipo mtandaoni.
Ndo maana nahitaji ushauri kivi nifanye na kipi niache.
soma computer science achana na IT........
 
Zero_and_One

Member
Jun 4, 2019
43
125
Asante kwa ushauri .Chuo gani wanatoa Electrical na Telecommunication kwa hapa Tanzania?
Kasome umeme dogo.. Kama umeweza kufanya hvyo vyote... Bas umeme unakufaa... Kuna baadhi ya vyuo wanatoa electrical and telecommunication enginering.... Utafaidika sana... Achana na hayo mengne
 
germanium

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
683
1,000
njoo huku kwenye umeme anza hata na certificate haina shida hizo C,C++ na java vitakusaidia kwenye designing za umeme hizo kozi zingine ziache
 
Zero_and_One

Member
Jun 4, 2019
43
125
Shukrani ndugu zangu .Maana hamna mtu wa kuniongoza katika maisha so mawazo yenu ni muhimu saana katika maisha yangu .I AM JUST ALONE .Nashukuru saana kwa kila alietoa mchango wake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom