Suluhisho: Tatizo la mita ya luku kugoma kupokea token

samike

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
609
236
Wataalam wa IT nisaidieni nimefungiwa mita ya luku hii imefungwa juu ya paa la nyumba kwenye kinguzo cha nyaya ya umeme. Halafu mimi nikapewa rimoti ambayo natakiwa niingize token na ndipo inawasiliana na luku mita kuingiza unit...sasa Leo ni siku ya tano nalala gizani kila nikiingiza inaandika error 77 nimeomba msaada Tanesco hakuna ninachosaidiwa kabisa zaidi ya ahadi hewa tutakuja ...tutakuja...naombeni msaada wapendwa

Ndugu kama ni Wasion fanya hivi.
1. Hakikisha betri zipo safi.
2. Hakikisha main switch, circuit breaker ipo on
3. Hakikisha socket unayotumia nayo inakuwa on.
4. Baada ya hayo bonyeza 0 (zero) ingiza namba ya mita halafu zero tena ingiza mita namba then ok. Mfano. 0xxxxxx0xxxxxx ok.
5. Subiri dakika 3 mpaka 5.
6. Ingiza voucher yako.

-Nasisitiza, ili mita iliyopo kwenye nguzo iweze kuonana na (kiwasilianishi) kwa lugha nyepesi call it remote, hakikisha imepachikwa ktk socket.
- Jambo jingine Nakushauri badilisha Betri ( weka betri mpya) kisha fuata maelekezo niliyo kupa.
- Kama umeme umekwisha kabisa ktk mita yako, nenda kwa jirani yako ambaye ana umeme ukiwa na (kiwasilianishi) remote yako hakikisha anatumia phase unayo tumia wewe (same phase) na pachika ktk socket na iwashe. Ikiwaka ingiza umeme (tarakimu ishirini) na kubonyeza mshale wa enter.
Mita nyumbani kwako ita waka.
 
Jaribu kubonyeza 2901 halaf ok .....ikikataa inatakiwa meter kwenye nguzo inyimwe umeme halaf ipewe tena ni kama kurestart hv......na kama tatzo n ukiweka umeme ina load halaf inazima badilisha battery au cable ya kuchajia....
 
Wataalam wa IT nisaidieni nimefungiwa mita ya luku hii imefungwa juu ya paa la nyumba kwenye kinguzo cha nyaya ya umeme. Halafu mimi nikapewa rimoti ambayo natakiwa niingize token na ndipo inawasiliana na luku mita kuingiza unit...sasa Leo ni siku ya tano nalala gizani kila nikiingiza inaandika error 77 nimeomba msaada Tanesco hakuna ninachosaidiwa kabisa zaidi ya ahadi hewa tutakuja ...tutakuja...naombeni msaada wapendwa

...Hiyo ndio meter yenyewe, sio remote hiyo!
 
hizo meter ni nzuri sana ukizijulia na zikituria sisi mwanzo huku tuliipata fresh yake nenda rudi tanesco ka vile sijui nini
araf sometyme tanesco pumbavu sana wanakufungia kitu kipya araf hawakupi hata maelezo ya kina utakuta hapo tatzo dogo sana ka sisi tulikosa umeme week 2 nzima nimeenda tanesco ka mara 3 araf kumbe ishu yenyewe kumbe pale kwenye socet unatakiwa upaache SWITCH ON ndo umeme uingie yaan nilikeleka sana kutusumbua kote kule kulala giza araf ishu yenyewe ndogo
wanaudhi sana
 
Mimi yangu umeme umeisha,Nikiwa na nunua ndani ya dakika 10 kwenda kuweka unit kamezima.
Mpaka nilipoenda kukichaji kwa jirani na kana take time ku respond.Ovyo kabisa kheri zile old school
 
Mita yenyewe ni aina gani. Ni Wasion au Inhemeter. Toa jibu nikusaidie.
Ila hakikisha switch socket ipo on wakati unaingiza umeme kutumia remote yako.
 
Ili kuweza kutumia mita yako ya LUKU fanya yafuatayo
1. Hakikisha betri za remote yako ni nzima na zimewekwa kwa usahihi ktk sehemu ya betri.
2. Hakikisha Main Switch na Circuit Breaker ya nyumba yako zimewashwa/ ziko ON.
3. Pachika remote yako ktk switch socket moja wapo na hakikisha inakuwa on.
- kama umefuata taratibu hizi remote yako itawaka/display. Ikisha waka ingiza namba za kufungulia mita "12682136550811111930" kisha bonyeza mshale wa enter ulio chini kulia mwa remote yako.
Kama utafuata taratibu hizi mita yako itafungua na umeme utawaka.
Isipo waka toa taarifa usaidiwe.
 
...Hiyo unayoiita "remote", ndio meter yenyewe hiyo!
 
Wataalam wa IT nisaidieni nimefungiwa mita ya luku hii imefungwa juu ya paa la nyumba kwenye kinguzo cha nyaya ya umeme. Halafu mimi nikapewa rimoti ambayo natakiwa niingize token na ndipo inawasiliana na luku mita kuingiza unit...sasa Leo ni siku ya tano nalala gizani kila nikiingiza inaandika error 77 nimeomba msaada Tanesco hakuna ninachosaidiwa kabisa zaidi ya ahadi hewa tutakuja ...tutakuja...naombeni msaada wapendwa
...Hii error ni very specific. Tanesco walikujibu nini? Ongea na fundi wa Tanesco anayezifahamu hizo meter, mwambie hiyo error. Hopefully atakuelekeza nini cha kufanya.

...Meter za kichina. Ingekuwa ya kizungu, ungegoogle!
 
Mita yenyewe ni aina gani. Ni Wasion au Inhemeter. Toa jibu nikusaidie.
Ila hakikisha switch socket ipo on wakati unaingiza umeme kutumia remote yako.
Imea ndikwa Wasion Group Limited WHCi04
 
  • Thanks
Reactions: Nek
Ili kuweza kutumia mita yako ya LUKU fanya yafuatayo
1. Hakikisha betri za remote yako ni nzima na zimewekwa kwa usahihi ktk sehemu ya betri.
2. Hakikisha Main Switch na Circuit Breaker ya nyumba yako zimewashwa/ ziko ON.
3. Pachika remote yako ktk switch socket moja wapo na hakikisha inakuwa on.
- kama umefuata taratibu hizi remote yako itawaka/display. Ikisha waka ingiza namba za kufungulia mita "12682136550811111930" kisha bonyeza mshale wa enter ulio chini kulia mwa remote yako.
Kama utafuata taratibu hizi mita yako itafungua na umeme utawaka.
Isipo waka toa taarifa usaidiwe.
Luku imeisha kabisa hapa ninatoken tu betri nimeweka ..hata kama hakuna umeme je kuna haja ya kuchomeka kwenye soket?
 
...Hii error ni very specific. Tanesco walikujibu nini? Ongea na fundi wa Tanesco anayezifahamu hizo meter, mwambie hiyo error. Hopefully atakuelekeza nini cha kufanya.

...Meter za kichina. Ingekuwa ya kizungu, ungegoogle!
Nimeanzia Tanesco sikupatiwa msaada mimi mteja wao Niko gizani ndiyo maana nimekimbilia huku mkuu...ni ya kichina kweli imeandikwa made in china
 
Ili kuweza kutumia mita yako ya LUKU fanya yafuatayo
1. Hakikisha betri za remote yako ni nzima na zimewekwa kwa usahihi ktk sehemu ya betri.
2. Hakikisha Main Switch na Circuit Breaker ya nyumba yako zimewashwa/ ziko ON.
3. Pachika remote yako ktk switch socket moja wapo na hakikisha inakuwa on.
- kama umefuata taratibu hizi remote yako itawaka/display. Ikisha waka ingiza namba za kufungulia mita "12682136550811111930" kisha bonyeza mshale wa enter ulio chini kulia mwa remote yako.
Kama utafuata taratibu hizi mita yako itafungua na umeme utawaka.
Isipo waka toa taarifa usaidiwe.
Nimefuata hivyo ulivyoelekeza namba zinaingia ina search lakini inaonyesha error..labda nijue hii kitu he hata kama nimeweka betri na zinafanya Kazi he kuna haja tena ya kuchomeka kwenye soketi? Maana umeme umekatika kabisa niko gizani totoro..
 
Imea ndikwa Wasion Group Limited WHCi04
Ndugu kama ni Wasion fanya hivi.
1. Hakikisha betri zipo safi.
2. Hakikisha main switch, circuit breaker ipo on
3. Hakikisha socket unayotumia nayo inakuwa on.
4. Baada ya hayo bonyeza 0 (zero) ingiza namba ya mita halafu zero tena ingiza mita namba then ok. Mfano. 0xxxxxx0xxxxxx ok.
5. Subiri dakika 3 mpaka 5.
6. Ingiza voucher yako.
 
Ndugu kama ni Wasion fanya hivi.
1. Hakikisha betri zipo safi.
2. Hakikisha main switch, circuit breaker ipo on
3. Hakikisha socket unayotumia nayo inakuwa on.
4. Baada ya hayo bonyeza 0 (zero) ingiza namba ya mita halafu zero tena ingiza mita namba then ok. Mfano. 0xxxxxx0xxxxxx ok.
5. Subiri dakika 3 mpaka 5.
6. Ingiza voucher yako.
Hapo namba 3 nifafanulie mkuu...umeme hamna kabisa umezima luku imeisha je nichomeke tu? Ila betri zinafanyakazi ni mpya...
 
Back
Top Bottom