Msaada wapi naweza kupata mikeka ya jumla?

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
1,081
Reaction score
2,604
Salaam wakuu.

Katika harakati za kujikwamua kimaisha na eneo nililopo naona hii biashara itanilipa.

Sasa nilikuwa nahitaji inakopatikana ile mikeka iliyoandikwa ZARI au ile ya milia. Ikiwa ni kiwandani au kwa Mchina itakuwa zaidi mana nahitaji kuuza jumla nipo Mtwara.

Natanguliza shukran.
 
1000085285.jpg

Kula chuma hicho!

Mimi nagawa buree! Siuzi mikeka mkuu!
 
Back
Top Bottom