Msaada: Wapi naweza kupata engagement ring nzuri Dar/ Arusha?

Iron

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2008
Posts
363
Reaction score
150
Wanajamvi naombeni msaada

Ninatamani kujua wapi ninaweza kupata engagement ring nzuri hapa Dar au Arusha. Sifahamu sana bei ya haya mambo lakini nimejiaandaa na kati ya 500,000/= mpaka 1,000,000/=. Kama bado zipo nzuri za bei ya juu kidogo reference still zinaruhusiwa. Some adjustments can be made.

Blessings, with thanks

Msaada gfsonwin, mandenyi, @kb 52, LiverpoolFC, Arushaone, Eiyer, AshaDii, ummu kulthum, lara 1, Mzee Mtambuzi, Nivea, Bujibuji, golden girl, Kaizer, allen nk. Plz na wengine wengi humu jamvini naombeni msaada!
 
Last edited by a moderator:
Sawa Merrita, nasubiri!
 
Hongera sana mkubwa kwa hili
Unahitaji pete ya aina gani dhahabu,feza?gram ngapi?

Kito cha aina gani? Tanzanite,lulu au almasi ambayo tumeyazowea

Kumbuka pete ni bei rahisi kuliko kito
Kito ndio thamani ya pete
Kwa mpunga ulioutaja hapo juu hasa wa mwisho naoma wifi anaweza akavaa kito cha tanzanite.
 
Msikilize huyu
Inaonekana anayajua haya mambo!
 
Hongera sana mkubwa kwa hili
Unahitaji pete ya aina gani dhahabu,feza?gram ngapi?

Kito cha aina gani? Tanzanite,lulu au almasi ambayo tumeyazowea

Kumbuka pete ni bei rahisi kuliko kito
Kito ndio thamani ya pete
Kwa mpunga ulioutaja hapo juu hasa wa mwisho naoma wifi anaweza akavaa kito cha tanzanite.

Hapo ndipo nahitaji msaada maana hata hizo gramu sizielewi vyema. Pete ni ya dhahabu. Kito cha Tanzanite au Diamond kipi kizuri? Cost implications vipi? Na je kwa hiyo 1m nawezakupata kitu kizuri?

Thanks a lot for your concern! Ahsante sana kwa your interest kunisaidia. Plz don hesitate to help na usichoke kwa maswali hayo!
 
wanajamvi naombeni msaada

ninatamani kujua wapi ninaweza kupata engagement ring nzuri hapa dar au arusha. Sifahamu sana bei ya haya mambo lakini nimejiaandaa na kati ya 500,000/= mpaka 1,000,000/=. Kama bado zipo nzuri za bei ya juu kidogo reference still zinaruhusiwa. Some adjustments can be made.

Blessings, with thanks

msaada gfsonwin, mandenyi, @kb 52, liverpoolfc, arushaone, eiyer, ashadii, ummu kulthum, lara 1, mzee mtambuzi, nivea, bujibuji, golden girl, kaizer, allen nk. Plz na wengine wengi humu jamvini naombeni msaada!

kuna sonara mmoja pale magomeni,maeneo ya ofisi za tanesko,ana bei poa sana kwani mi ndo alinitengenezea engagement ring ya wife na hata pete ya ndoa,ana bei poa sana na ni muelewa sana.atakupa ushauri kulingana na dizain unayotaka pia akizingatia umbo lako,nini ambacho kinapendeka kwa sasa etc.namba yake ni 0713329261
 
Nashukuru,

Tayari nimesave namba, nitampigia siku chache zijazo.
 
njoo mtaa wa India DSM
Wanajamvi naombeni msaada

Ninatamani kujua wapi ninaweza kupata engagement ring nzuri hapa Dar au Arusha. Sifahamu sana bei ya haya mambo lakini nimejiaandaa na kati ya 500,000/= mpaka 1,000,000/=. Kama bado zipo nzuri za bei ya juu kidogo reference still zinaruhusiwa. Some adjustments can be made.

Blessings, with thanks

Msaada gfsonwin, mandenyi, @kb 52, LiverpoolFC, Arushaone, Eiyer, AshaDii, ummu kulthum, lara 1, Mzee Mtambuzi, Nivea, Bujibuji, golden girl, Kaizer, allen nk. Plz na wengine wengi humu jamvini naombeni msaada!
 
njoo mtaa wa India DSM

Mkuu umenena pia mtaa wa Kitumbini
nadhani hapo maduka tele

N:B Uwe makini sana uzuri wa pete usipigwe
kwa maana ya kuambiwa dhahabu kumbe sio
Kwa pesa aliyoitaje mdau ni wazi
atapata pete nzuri kulingana na mahitaji yake.
 
Hii mitaa ni ya kariakoo?
 
Ingekua znz ungepata choice nzuri nzuri. Na bei afadhali. Kwa pesa hio ungepata pete nzito na tanzanite stone
 
Zanzibar sio mbali Angel,

Sema tuu, nikiwa na a lot of options it helps
 
Hapo ndipo nahitaji msaada maana hata hizo gramu sizielewi vyema. Pete ni ya dhahabu. Kito cha Tanzanite au Diamond kipi kizuri
!
Hiyo m1 iko mahala pake
Tanzanite ndio habari ya mujini
Gram kuanzia 2 na kuendelea
Gram 1 inakuwa nyembamba sana na haina mvuto
Bei ya sasa siifahamu watanisaidia wadau.

Angalizo:

Nenda kwa sonara na mtu anayefahamu dhahabu halisi wengi wao sio waamifu kanyabonya.
 
Asante kwa kuniona kama nafaa kukuambia. Nakushauri uende kwenye maduka ya sonara utapata pete kulingana na hela yako. Uwe makini bongo matapeli ni wengi. All the best mwaya.
 
Wanajamvi naombeni msaada

Ninatamani kujua wapi ninaweza kupata engagement ring nzuri hapa Dar au Arusha. Sifahamu sana bei ya haya mambo lakini nimejiaandaa na kati ya 500,000/= mpaka 1,000,000/=. Kama bado zipo nzuri za bei ya juu kidogo reference still zinaruhusiwa. Some adjustments can be made.

Blessings, with thanks

Msaada gfsonwin, mandenyi, @kb 52, LiverpoolFC, Arushaone, Eiyer, AshaDii, ummu kulthum, lara 1, Mzee Mtambuzi, Nivea, Bujibuji, golden girl, Kaizer, allen nk. Plz na wengine wengi humu jamvini naombeni msaada!

Mkuu pia cheki na Nchimbi sonara anaepatikana pale magomeni mapipa karibu na lango la kuongia pride tanzania pale kwenye jengo la Lutheran ndo nilipochukulia pete ya engagement ya wife na pete zetu za ndoa so mwizi wala mbabaishaji mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hiyo m1 iko mahala pake
Tanzanite ndio habari ya mujini
Gram kuanzia 2 na kuendelea
Gram 1 inakuwa nyembamba sana na haina mvuto
Bei ya sasa siifahamu watanisaidia wadau.

Angalizo:

Nenda kwa sonara na mtu anayefahamu dhahabu halisi wengi wao sio waamifu kanyabonya.

Thanks, at least I know ntaanzia gram mbili kwenda juu! Advice taken
 
Asante kwa kuniona kama nafaa kukuambia. Nakushauri uende kwenye maduka ya sonara utapata pete kulingana na hela yako. Uwe makini bongo matapeli ni wengi. All the best mwaya.

You are welcome!

Pamoja sana! Some people are silently valued! U are one of them!
 
Back
Top Bottom