Msaada: Wapi naweza kupata engagement ring nzuri Dar/ Arusha?

Msaada: Wapi naweza kupata engagement ring nzuri Dar/ Arusha?

Kweli umejiandaa

Wala sio kivile! Sema vitu ambavyo unakaa navyo kwa muda mrefu ni vyema ukavitazama kwa utofauti! Kuliko kuweka a lot of complications kwenye sherehe mi naona ni vyema ukataza vitu kama pete ambavyo daily vipo on your display!
 
Hii nayo nzuri unakuwa na kumbukumbu nzuri
 
Kuwa mjanja kidogo.......
kama siku bado sana jaribu kuongea na mchumba kuhusu madini. watu tuna choice tofauti sana za madini. Unaweza kumnunulia gold kumbe anapenda platinum. kumbe ungejua tangu mwanzo kuwa anapenda platinum na ukamnunulia pete ya platinum itam-bamba zaidi. Mind you kuwa hutaki tu kutumia hela, unataka kumnunulia kitu ambacho atajisikia fahari kukivaa. hii inahusu pia Kito, Tanzanite inaweza kuwa ndo habari ya mjini kumbe yeye wala hana habari nayo, anapenda diamond. Utanunua pete yake yenye kito cha blue, kumbe yeye anapenda kito cheupe.
Inawezekana unataka kuwa surprise so unaweza kumwuliza kiaina ambayo hatagundua. unaweza kuongelea hereni, chain au hata kikuku cha mtu mkiwa barabarani au mmekaa pembeni mtu akapita.....
 
Fixed Point,

Nimekusoma mkuu. Na nakuhakikishia advice taken.

Ahsante sana
 
Last edited by a moderator:
Hiyo m1 iko mahala pake
Tanzanite ndio habari ya mujini
Gram kuanzia 2 na kuendelea
Gram 1 inakuwa nyembamba sana na haina mvuto
Bei ya sasa siifahamu watanisaidia wadau.

Angalizo:

Nenda kwa sonara na mtu anayefahamu dhahabu halisi wengi wao sio waamifu kanyabonya.

kwa bei aliyotaja namshauri mdau aweke kitu cha WHITE GOLD, kito cha TANZANITE. iNDIA STREET pale maduka mengi mengi yaanauza dhahabu original na kwa gm1 ya white gold ni kama sh 78000-100000/= hapo anoneaweza kuwa na optio n ya gm3 hivi akawekamo na tanzanite stone. hii ndio habari ya MUJINI KWA SASA.

HEBU AKAJARIBU KWA MASONARA HAWA

YAKUUB, JEWELLERS, UNIQUE JEWELLERS, CROWN JEWELLERS NA MBONGO MWENZETU NCHIMBI HUYU YUKO MIGOMIGO.
 
Hivi inafaa kweli kama nimejiskia kumbadilishia mke wangu engagement ring nikamnunulia nyingine!!!!! Huwa inaruhusiwa??
Natamani sana kui-upgrade hiyo anayoivaa kwa sasa.

gfsonwin; Mamndenyi; Fixed Point na wengine wenye ufaham juu ya hili.

Iron sorry kwa kuulizia swali langu kwenye thread yako, hata hivyo sikuona umuhimu sana wa kuifungulia thread nyingine.
 
Iron kwa hiyo figure ya pili the lady deserve tanzanite
nenda pale tanzanite dream upanga -mataka street umchagulie bibie kitu kitamu pale
aisee she deserve the best
 
mimi hapa nina pete ya 3 tangu ile niliyopewa wakati nachumbiwa/naolewa......
siku zinaenda na fashion zinabadilika. Ruksa kabisaaaaa.
Pete zangu za mwanzo nimeziweka kama kumbukumbu, ila set ya pili tulivyobadilisha tuliuza huko huko kwa sonara.
tunachofanyaga tu kila tukibadilisha huwa tunapeleka kuzibariki.
 
kwa bei aliyotaja namshauri mdau aweke kitu cha WHITE GOLD, kito cha TANZANITE. iNDIA STREET pale maduka mengi mengi yaanauza dhahabu original na kwa gm1 ya white gold ni kama sh 78000-100000/= hapo anoneaweza kuwa na optio n ya gm3 hivi akawekamo na tanzanite stone. hii ndio habari ya MUJINI KWA SASA.

HEBU AKAJARIBU KWA MASONARA HAWA

YAKUUB, JEWELLERS, UNIQUE JEWELLERS, CROWN JEWELLERS NA MBONGO MWENZETU NCHIMBI HUYU YUKO MIGOMIGO.

Hapo nimekuelewa! Nawaza kwenda India street kama ulivyoshauri na pale mapipa kwa Nchimbi. Ila India street sipajui [au kama napajua sijui kama ndio India street]. Kama ukinielekeza nitashukuru!
 
Hivi inafaa kweli kama nimejiskia kumbadilishia mke wangu engagement ring nikamnunulia nyingine!!!!! Huwa inaruhusiwa??
Natamani sana kui-upgrade hiyo anayoivaa kwa sasa.

gfsonwin; Mamndenyi; Fixed Point na wengine wenye ufaham juu ya hili.

Iron sorry kwa kuulizia swali langu kwenye thread yako, hata hivyo sikuona umuhimu sana wa kuifungulia thread nyingine.

Worry out! You can ask a million times! Lengo ni kupata msaada kwa yale tunayohitaji kuyafahamu! So, u r welcome! Naona Fixed Point ametoa mwangaza hivi!
 
Last edited by a moderator:
Iron kwa hiyo figure ya pili the lady deserve tanzanite
nenda pale tanzanite dream upanga -mataka street umchagulie bibie kitu kitamu pale
aisee she deserve the best

Nivea,

Ushauri umezingatiwa! Shukrani kwa moyo wa msaada!
 
Last edited by a moderator:
hapo nimekuelewa! Nawaza kwenda india street kama ulivyoshauri na pale mapipa kwa nchimbi. Ila india street sipajui [au kama napajua sijui kama ndio india street]. Kama ukinielekeza nitashukuru!

india street ni mtaa kabla ya mtaa wa samora uktoka clock tower pandisha kama unaenda rems kisha mkono wa kulia njia ya kwanza ndio india street nend anayo tuuuuuuuu utakuta maduka mengi tu ya masonara
 
Back
Top Bottom