Msaada wapi naweza kupata simtank za bei nafuu au used? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wapi naweza kupata simtank za bei nafuu au used?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ALF, Jun 21, 2012.

 1. ALF

  ALF JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  habari zenu wana jamvi. Naombeni msaada wenu kwa mara nyingine, 1. Ninahitaji sana simtank kwanzia ltr 4000 na 5000 kwa bei poa au sehemu yanayopatikana used.

  2. Je ni maduka gani naweza kupata pump ya kisim ya HP 2 na vifaa vingine kwa hapa dar but sio za kichina.

  Nitashukuru nitakapopata msaada.
   
Loading...