Msaada wapi naweza kupata vifaranga vya samaki

ALF

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
207
137
Habari za mihangaiko ndugu zangu.

Naombeni msaada wenu ndugu zangu kwenye kajishamba changu ninavibwawa viwili nahitaji kuweka samaki, moja niweke kambale na jingine niweke sato, hivyo naomba kupata taharifa ya wapi nitapata vifaranga na bei zake, mimi nipo Dar but shamba lipo Rufiji.

Asanteni na mwenyezi Mungu awabariki.
 
nenda chuo cha mbegani bagamoyo au SUA morogoro unaweza kupata vifaranga kwa bei nafuu tofauti na mawakala binafsi
 
Wasiliana na huyu jamaa 0754984842 ni mfugaji na mzalishaji wa Vifaranga yupo Dar atakusaidia
 
Mimi ni mzalishaji wa vifaranga vya kambale hapa Mwanza. Huwa ninasafirisha vifaranga hivi hadi dar. Bei ni 300 haishuki. Lakini garama za kukuletea unalipa. Na order ya kuleta uko ni kuanzia vifaranga 5000. Vifaranga vyangu hukua haraka sana na hta ukihitaji naweza kukuelekeza kwa baazi ya wafugaji waliopo dar uweze kuona maendeleo yao. 0759741303
 
Kuvuna baada ya miezi mingapi
 
Asanteni ndugu kwa ushauri na miongozo yenu.
 
Naomba mawasiliano ya huko mbegani au namba ya mtu ninaeweza kufanya nae mawasiliano ya huko kabla sijaenda huko maana kutoka rufiji moja kwa moja mpaka mbegani bila kujua utaratibu kwanza inakuwa ngumu kidogo.
 
Back
Top Bottom