Msaada; Wapi naweza kubadilisha Dola za mwaka 2003? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; Wapi naweza kubadilisha Dola za mwaka 2003?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Shark, Jul 16, 2011.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,260
  Trophy Points: 280
  Wanajamii,
  juzi kati nlikua nafanya 'transaction' flani hivi za dola,
  Sasa kwakua dola zilikua ni nyingi na nlikua na haraka sikuweza kuzikagua miaka zaidi ya kwamba nilicheki tu kama sio feki.
  Sasa kumbe wajanja ''wamenipiga'' kwa kuchomeka noti 2x$100 za mwaka 2003 ambazo hazitumiki.
  Sasa kuna popote ambapo naweza kubadili hizi noti?
  Au nizigeuze tu mapambo?
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  all forex shops can exchange except that the rate will be lower than the current denomination
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu upo wapi? Kama upo dar nenda pale samora na azikiwe jengo la IPS kuna maduka ya kubadilishia fedha za kigeni, au nenda mtaa wa swahili Kariakoo Bazar, wananunua lakini kwa bei ya chini
   
 4. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Usihangaike na bureaus de change kwa fedha zilizopitwa na wakati nenda Bank of Tanzania pale Mirambo street
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,260
  Trophy Points: 280
  Dah, ahsanteni sana wakuu, niko Dar, kijitonyama.
  Karibia kila wiki napitaga pale posta kubadili but sijawahi kujua kama wanakubali za mwaka huo,
  Ngoja niwahi fasta wasije wakafunga,
  M'barikiwe sana.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  wahi mkuu .... mimi natumia Castle Lite
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,260
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha,ntaku-PM Castle 5 equivalent in Vocha,Uko mtandao gani mkuu wangu?
   
 8. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,780
  Likes Received: 6,264
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe Tanzania hawakubali kubadilisha dola za mwaka 2003??
   
Loading...