The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,242
naomba msaada sehemu au mahali gani naweza kwenda kubadirisha cover ya Laptop kwa DSM ,Nina changamoto laptop HP imedondoka .
ItapendezaNikupe namba ya muuzaji
Naomba uni check kama bado haujafanikiwa mkuu....,na deal na COMPUTER za zina zote kutengeneza na kuuza, vile vile kununua spare za Computer used za maofisininaomba msaada sehemu au mahali gani naweza kwenda kubadirisha cover ya Laptop kwa DSM ,Nina changamoto laptop HP imedondoka .